Yah hapa sikupingi kaka..ila nimeshafanya self evaluation nimeona mahali nilipokosea hela nilipoipokea niliona kubwa so karibia million5 ikaishia kununua vitu vya ndani na nguo na kiasi kidogo nikapeleka kwa biashara ila sikuwa seriously japoYes, kinachomharibia zaidi ni tamaa na haraka ya maisha
Ulevi nilikuwa nakunywa nikaacha mimi nina pombe sijaiendekeza ila kwa sasa ndo nimezidisha japo kuacha ninaweza ninashukuru Mungu ananipa Hekima ya kuweza kuacha addicted yoyote ila kinachoniumiza kichwa mke wangu ni mpuuzi sana amekuwa kama mzigoKusimamia biashara mpya huku umeajiriwa ni changamoto hasa hizi biashara uchwara uchwara!!
Utanufaisha watu tu,halafu umeongeza na ulevi juu.
Hata hapa unapotaka kuanzia, punguza matarajio sana na acha vitu viflow taratibu ndani ya mipango yakoYah hapa sikupingi kaka..ila nimeshafanya self evaluation nimeona mahali nilipokosea hela nilipoipokea niliona kubwa so karibia million5 ikaishia kununua vitu vya ndani na nguo na kiasi kidogo nikapeleka kwa biashara ila sikuwa seriously japo
Huyo mke ana tabia kama zipi mkuu? Tunaweza kuwa na cha kukushauri kabla hujachukua maamuzi yoyote juu yakeUlevi nilikuwa nakunywa nikaacha mimi nina pombe sijaiendekeza ila kwa sasa ndo nimezidisha japo kuacha ninaweza ninashukuru Mungu ananipa Hekima ya kuweza kuacha addicted yoyote ila kinachoniumiza kichwa mke wangu ni mpuuzi sana amekuwa kama mzigo
Hili ni tatizo linalowasibu hasa vijana. Wanaharakia maisha. Mtu anaajiriwa ndani ya mwaka anatamani amiliki jumba la kifahari, awe na gari ya gharama, aendeshe miradi ya mapesa mengi mengi, matokeo yake anakopa kopa bila mipango sahihi anaishia kuanguka.Yes, kinachomharibia zaidi ni tamaa na haraka ya maisha
Mke nishawqhi kueleza kwenye hii thread ni mtu anayependa makuu.Huyo mke ana tabia kama zipi mkuu? Tunaweza kuwa na cha kukushauri kabla hujachukua maamuzi yoyote juu yake
Subra ni muhimu sana kwenye maisha,Hili ni tatizo linalowasibu hasa vijana. Wanaharakia maisha. Mtu anaajiriwa ndani ya mwaka anatamani amiliki jumba la kifahari, awe na gari ya gharama, aendeshe miradi ya mapesa mengi mengi, matokeo yake anakopa kopa bila mipango sahihi anaishia kuanguka.
Jifunzeni kusubiri
Sasa anataka kuongeza na zimwi la top up!!Kusimamia biashara mpya huku umeajiriwa ni changamoto hasa hizi biashara uchwara uchwara!!
Utanufaisha watu tu,halafu umeongeza na ulevi juu.
Na hela ya mkopo sio ya kuanzisha biashara au kujenga au kununua gari nooPole mkuu Maisha ni Kukomaa lakini wewe mwenyewe unasema uliingia shoti sababu ya UZEMBE WAKO MWENYEWE kwahiyo tatizo sio biashara tatizo ni wewe either katika ufwatiliaji au mambo mengine. Biashara yoyote inahitaji DISCIPLINE Kuwa Makini na Madeni Angalia Ulipodondoka Uinuke Usirudie Makosa!
Vijana wengi sana hii ni changamoto kwao. Hawaamini ktk subra. Wanatamani vitu vikubwa kwa harakaharaka, kazi kweli kweliSubra ni muhimu sana kwenye maisha,
na kila kitu kwenye maisha lazima kipitie kwenye mchakato wa muda na sio kukurupuka tu.
Mwisho wa siku wanajifunza kwa njia ngumu zenye majuto makali ndio akili zinawarudi.. wakati huo ni too lateVijana wengi sana hii ni changamoto kwao. Hawaamini ktk subra. Wanatamani vitu vikubwa kwa harakaharaka, kazi kweli kweli
UPo Sahihi mkuu Mikopo inaingizwa kwenye mzunguko wa biashara iliyokomaa tayari Otherwise utakuwa kama huyu mleta mada anajichimbia kaburi mwenyewe bado kujikizika tuNa hela ya mkopo sio ya kuanzisha biashara au kujenga au kununua gari noo
kupa kwaajili ya kuendeleza biashara.. Am I right?
watu wapewe elimu ya mikopoUPo Sahihi mkuu Mikopo inaingizwa kwenye mzunguko wa biashara iliyokomaa tayari Otherwise utakuwa kama huyu mleta mada anajichimbia kaburi mwenyewe bado kujikizika tu
Hapo unaona hiyo laki saba nyingiii hadi unaisema na ndio lengo kuu la kuandika iviMimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.
Nimefeli maisha ila sijakata tamaa.
Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya kuthibitishwa nilikopa bank million 12 kwa miaka 5 nikitarajia nitafanya biashara na kiuhalisia nilifanya biashara na kilimo ila zimefeli zote japo kwa kufanya self evaluation ni uzembe wangu binafsi nimeona.
Nimebaki na Take Home ya Laki 4 nina familia ya mke na mtoto 1 ninapambana kibishi japo kibayq zaidi nimepata mwanamke asiye mpambanaji japo ili sio la kulaumu hapo uzembe ni wangu pia.
Kwanini nimekuja kwenu.
Mimi nimeshafanya self evaluation nimeona kabisa nimefeli maisha na nisipokuwa makini naenda kupotea.
Nimeanza kuwa mlevi mtu nisiyejijali kibaya zaidi nimeingia kwenye madeni hadi haya ya kausha damu.
Ninapoongea hapa mwezi huu mshahara napata laki 2 maana nalipa madeni.
Sasa wakuu naomba kwa ukali au hekima karibuni kunishauri.
Nimemtoa mke wangu maana naona kama mzigo sio mtu anayependa kujishughulisha hapa nilishamfungulia biashara pia kwenye huo mkopo na aliua.
Leo nimekaa nimeona nikope kama million 8 nijilipue tena kwenye biashara.
Nitabaki na take home ya laki 3 ndani ya miaka 4 iliyobaki kadi ni muachie yeye adili na chakula.
Mimi huu mkopo wa million 8 nife nao kama nitafeli nifeli tu.
Kiuhalisia sina option yoyote kwa sasa hata mkinishauri ni save nipate mtaji mtakuwa mnanionea bure.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
Wapi nimesema laki 7 nyingiHapo unaona hiyo laki saba nyingiii hadi unaisema na ndio lengo kuu la kuandika ivi
AsantePole sana mkuu
Acha ulevi
Nakutakia biashara njema