Niambie Tu
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 280
- 727
- Thread starter
- #41
Kaka mtaji Tutapata wapi lakiniNa hela ya mkopo sio ya kuanzisha biashara au kujenga au kununua gari noo
kupa kwaajili ya kuendeleza biashara.. Am I right?

Usikope tena mkuu, komaa na hiyo laki nne mpaka mtaji unapatikana.Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.
Nimefeli maisha ila sijakata tamaa.
Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya kuthibitishwa nilikopa bank million 12 kwa miaka 5 nikitarajia nitafanya biashara na kiuhalisia nilifanya biashara na kilimo ila zimefeli zote japo kwa kufanya self evaluation ni uzembe wangu binafsi nimeona.
Nimebaki na Take Home ya Laki 4 nina familia ya mke na mtoto 1 ninapambana kibishi japo kibayq zaidi nimepata mwanamke asiye mpambanaji japo ili sio la kulaumu hapo uzembe ni wangu pia.
Kwanini nimekuja kwenu.
Mimi nimeshafanya self evaluation nimeona kabisa nimefeli maisha na nisipokuwa makini naenda kupotea.
Nimeanza kuwa mlevi mtu nisiyejijali kibaya zaidi nimeingia kwenye madeni hadi haya ya kausha damu.
Ninapoongea hapa mwezi huu mshahara napata laki 2 maana nalipa madeni.
Sasa wakuu naomba kwa ukali au hekima karibuni kunishauri.
Nimemtoa mke wangu maana naona kama mzigo sio mtu anayependa kujishughulisha hapa nilishamfungulia biashara pia kwenye huo mkopo na aliua.
Leo nimekaa nimeona nikope kama million 8 nijilipue tena kwenye biashara.
Nitabaki na take home ya laki 3 ndani ya miaka 4 iliyobaki kadi ni muachie yeye adili na chakula.
Mimi huu mkopo wa million 8 nife nao kama nitafeli nifeli tu.
Kiuhalisia sina option yoyote kwa sasa hata mkinishauri ni save nipate mtaji mtakuwa mnanionea bure.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
Ukishakuwa na skills za entrepreneurship lazima ujue namna ya kugenerate capital..Kaka mtaji Tutapata wapi lakini
Nina experience na mikopo mkuu Hizi biashara zetu bila kuziboost kwa mikopo haziinuki leo wala kesho. Inshort nilichojifunza katika mikopo. Bank zenyewe ni wanyonyaji wakubwa riba ni kubwa kupita maelezo. Elimu ya mikopo watu hawana kabisa Mkopo ukiingia mtu anamega kiasi kidogo akale kwanza bata hiyo nyingine ndio ijizungushe iongezeke, hakuna mistake mbaya kama hiyo UMAKINI ndio Kila Kitu Unatakiwa Uwe Mchumi kwelikweli na walivyo washenzi ukirudisha hela yao bila shida wanakubembeleza uchukue mwingine na offer juu! Sasa Jichanganye Utaimba Halleluyawatu wapewe elimu ya mikopo
au watafute ilmu hio kwenye internet wajue outcome yake kabla hawajaingia kwenye trap
Jamaa asome hapa aeleweNina experience na mikopo mkuu Hizi biashara zetu bila kuziboost kwa mikopo haziinuki leo wala kesho. Inshort nilichojifunza katika mikopo. Bank zenyewe ni wanyonyaji wakubwa riba ni kubwa kupita maelezo. Elimu ya mikopo watu hawana kabisa Mkopo ukiingia mtu anamega kiasi kidogo akale kwanza bata hiyo nyingine ndio ijizungushe iongezeke, hakuna mistake mbaya kama hiyo UMAKINI ndio Kila Kitu Unatakiwa Uwe Mchumi kwelikweli na walivyo washenzi ukirudisha hela yao bila shida wanakubembeleza uchukue mwingine na offer juu! Sasa Jichanganye Utaimba Halleluya
Inategrmeana unaishia wapi hiyo Laki tatu inayobaki kwa Mke na Mtoto mmoja inawatosha kwa matumizi ya Chakula, Bill za maji na umeme.Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.
Nimefeli maisha ila sijakata tamaa.
Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya kuthibitishwa nilikopa bank million 12 kwa miaka 5 nikitarajia nitafanya biashara na kiuhalisia nilifanya biashara na kilimo ila zimefeli zote japo kwa kufanya self evaluation ni uzembe wangu binafsi nimeona.
Nimebaki na Take Home ya Laki 4 nina familia ya mke na mtoto 1 ninapambana kibishi japo kibayq zaidi nimepata mwanamke asiye mpambanaji japo ili sio la kulaumu hapo uzembe ni wangu pia.
Kwanini nimekuja kwenu.
Mimi nimeshafanya self evaluation nimeona kabisa nimefeli maisha na nisipokuwa makini naenda kupotea.
Nimeanza kuwa mlevi mtu nisiyejijali kibaya zaidi nimeingia kwenye madeni hadi haya ya kausha damu.
Ninapoongea hapa mwezi huu mshahara napata laki 2 maana nalipa madeni.
Sasa wakuu naomba kwa ukali au hekima karibuni kunishauri.
Nimemtoa mke wangu maana naona kama mzigo sio mtu anayependa kujishughulisha hapa nilishamfungulia biashara pia kwenye huo mkopo na aliua.
Leo nimekaa nimeona nikope kama million 8 nijilipue tena kwenye biashara.
Nitabaki na take home ya laki 3 ndani ya miaka 4 iliyobaki kadi ni muachie yeye adili na chakula.
Mimi huu mkopo wa million 8 nife nao kama nitafeli nifeli tu.
Kiuhalisia sina option yoyote kwa sasa hata mkinishauri ni save nipate mtaji mtakuwa mnanionea bure.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.

Watumishi wa wanashawishika kwa kuwa Ajira zao ni za kudumuMtego wa mikopo kwa watumishi ni janga. Nawaangaliaga watu, naishia kuwahurumia tu. Poleni.
Pesa Acha iitwe Pesa mkuu Usipokuwa Makini nayo Inakutia Uchizi kama sio Kukuua na Maisha Yatasonga Hakuna AtayejaliJamaa asome hapa aelewe
Usijinene mabayaMimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.
Nimefeli maisha ila sijakata tamaa.
Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya kuthibitishwa nilikopa bank million 12 kwa miaka 5 nikitarajia nitafanya biashara na kiuhalisia nilifanya biashara na kilimo ila zimefeli zote japo kwa kufanya self evaluation ni uzembe wangu binafsi nimeona.
Nimebaki na Take Home ya Laki 4 nina familia ya mke na mtoto 1 ninapambana kibishi japo kibayq zaidi nimepata mwanamke asiye mpambanaji japo ili sio la kulaumu hapo uzembe ni wangu pia.
Kwanini nimekuja kwenu.
Mimi nimeshafanya self evaluation nimeona kabisa nimefeli maisha na nisipokuwa makini naenda kupotea.
Nimeanza kuwa mlevi mtu nisiyejijali kibaya zaidi nimeingia kwenye madeni hadi haya ya kausha damu.
Ninapoongea hapa mwezi huu mshahara napata laki 2 maana nalipa madeni.
Sasa wakuu naomba kwa ukali au hekima karibuni kunishauri.
Nimemtoa mke wangu maana naona kama mzigo sio mtu anayependa kujishughulisha hapa nilishamfungulia biashara pia kwenye huo mkopo na aliua.
Leo nimekaa nimeona nikope kama million 8 nijilipue tena kwenye biashara.
Nitabaki na take home ya laki 3 ndani ya miaka 4 iliyobaki kadi ni muachie yeye adili na chakula.
Mimi huu mkopo wa million 8 nife nao kama nitafeli nifeli tu.
Kiuhalisia sina option yoyote kwa sasa hata mkinishauri ni save nipate mtaji mtakuwa mnanionea bure.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
Naiheshimu kuliko maelezoPesa Acha iitwe Pesa mkuu Usipokuwa Makini nayo Inakutia Uchizi kama sio Kukuua na Maisha Yatasonga Hakuna Atayejali
Alikopa Pesa nyingi akiwa hanywi, ikapotea. Sasa anakunywa lakini hajasema kama hicho kidogo kilichobaki kinamalizwa na pombe.Kama umeshajitambua kuwa ulevi utakupoteza badilika
Ingekuwa hujajitambua ndio kungekuwa tatizo na tungekushauri...maamuzi ni yako
Wacha Pombe,pambania familia
Mtumishi wa umma ukipata check no emb usibweteke jitahid utoke huko halmashauri kwa namna yeyote ile, kuna taasisi nyingi tu wanavuta noti za kutosha sana yaan kwa mwez mtu hakos allowance more than 800K hapo bado mshahara. Tokeni kwenye TGS mtakufa njaaMimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.
Nimefeli maisha ila sijakata tamaa.
Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya kuthibitishwa nilikopa bank million 12 kwa miaka 5 nikitarajia nitafanya biashara na kiuhalisia nilifanya biashara na kilimo ila zimefeli zote japo kwa kufanya self evaluation ni uzembe wangu binafsi nimeona.
Nimebaki na Take Home ya Laki 4 nina familia ya mke na mtoto 1 ninapambana kibishi japo kibayq zaidi nimepata mwanamke asiye mpambanaji japo ili sio la kulaumu hapo uzembe ni wangu pia.
Kwanini nimekuja kwenu.
Mimi nimeshafanya self evaluation nimeona kabisa nimefeli maisha na nisipokuwa makini naenda kupotea.
Nimeanza kuwa mlevi mtu nisiyejijali kibaya zaidi nimeingia kwenye madeni hadi haya ya kausha damu.
Ninapoongea hapa mwezi huu mshahara napata laki 2 maana nalipa madeni.
Sasa wakuu naomba kwa ukali au hekima karibuni kunishauri.
Nimemtoa mke wangu maana naona kama mzigo sio mtu anayependa kujishughulisha hapa nilishamfungulia biashara pia kwenye huo mkopo na aliua.
Leo nimekaa nimeona nikope kama million 8 nijilipue tena kwenye biashara.
Nitabaki na take home ya laki 3 ndani ya miaka 4 iliyobaki kadi ni muachie yeye adili na chakula.
Mimi huu mkopo wa million 8 nife nao kama nitafeli nifeli tu.
Kiuhalisia sina option yoyote kwa sasa hata mkinishauri ni save nipate mtaji mtakuwa mnanionea bure.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
Hapo do ulipozingua.Yah hapa sikupingi kaka..ila nimeshafanya self evaluation nimeona mahali nilipokosea hela nilipoipokea niliona kubwa so karibia million5 ikaishia kununua vitu vya ndani na nguo na kiasi kidogo nikapeleka kwa biashara ila sikuwa seriously japo
Mkuu hio pombe itakupoteza mazima... hasa ukizingatia haupo kwenye stable cash flow.Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.