HOJA Mimi ni mwajiriwa Serikalini. Nilikopa, ila nimefeli malengo nahisi ninaenda kupotea

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mimi nikushauri kitu kimoja.
Waliopanga ulipwe laki 7, walitaka uishi kama mtu anaelipwa laki 7.
Ukitaka uongeze kipato, unaingia kwenye vita rasmi.
Kwenye vita, kunakushindwa na kuna kushinda.
Kuna mataifa yanaenda kwenye vita wanauwawa wapiganaji wote, raia wanawake na watoto, yaani Taifa kinafutika kabisa.
Wengine wanaishia kuwa watumwa.
Wangine wanafanikiwa wanaishi kama watawala na vizazi vyao vinaneemeka.
Ukiona watu wanakula bata sasa hivi, wengi wao mababu zao walipambana hizi vita kitambo
VIta ya kiuchumi ni halisi kwa mtu mmoja mmoja, kikundi , jamii au Taifa.
Ulivyoamua kutaka kuongeza kipato chako ulitangaza vita.
Ukaingia kwenye pamabano,
Ukachukua mkopo ili ukusaidie kwenye hiyo vita.
Ila kwa sababu unazozifahamu na usizozifahamu umeshindwa pambano.

Rudi kwenye ubao wa mipango jipange upya, panga mbinu mpya , panga askari wako vizuri.
Jifunze jinsi ya kuwatumia askari wako hata wale ambao ni dhaifu.(mkeo)
Kiasi fualani adui unamfahamu.

Ukikata tamaa maana yake umekubali kusurrender utaishi chini ya utumwa maisha yako yote.

Maisha ndivyo yalivyo.
 
Sisi watanzania huamini yeyote anaweza kufanya biashara
Hili nalo ni tatizo kubwa sana. Yaani kila mtu ana mentality ya kuwa mchuuzi.

Wengine tufikirie inshu nyingine zenye kipato cha maana kama Kilimo, Ufugaji, uvuvi, uzalishaji wa bidhaa, ufundi, uwekezaji masoko ya hisa na hatifungani n.k, sio lazima wote tuwe wachuuzi.
 
Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.

Nimefeli maisha ila sijakata tamaa.

Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya kuthibitishwa nilikopa bank million 12 kwa miaka 5 nikitarajia nitafanya biashara na kiuhalisia nilifanya biashara na kilimo ila zimefeli zote japo kwa kufanya self evaluation ni uzembe wangu binafsi nimeona.

Nimebaki na Take Home ya Laki 4 nina familia ya mke na mtoto 1 ninapambana kibishi japo kibayq zaidi nimepata mwanamke asiye mpambanaji japo ili sio la kulaumu hapo uzembe ni wangu pia.

Kwanini nimekuja kwenu.

Mimi nimeshafanya self evaluation nimeona kabisa nimefeli maisha na nisipokuwa makini naenda kupotea.

Nimeanza kuwa mlevi mtu nisiyejijali kibaya zaidi nimeingia kwenye madeni hadi haya ya kausha damu.
Ninapoongea hapa mwezi huu mshahara napata laki 2 maana nalipa madeni.

Sasa wakuu naomba kwa ukali au hekima karibuni kunishauri.
Nimemtoa mke wangu maana naona kama mzigo sio mtu anayependa kujishughulisha hapa nilishamfungulia biashara pia kwenye huo mkopo na aliua.

Leo nimekaa nimeona nikope kama million 8 nijilipue tena kwenye biashara.

Nitabaki na take home ya laki 3 ndani ya miaka 4 iliyobaki kadi ni muachie yeye adili na chakula.

Mimi huu mkopo wa million 8 nife nao kama nitafeli nifeli tu.

Kiuhalisia sina option yoyote kwa sasa hata mkinishauri ni save nipate mtaji mtakuwa mnanionea bure.

Karibuni kwa ushauri wakuu.
Nilianza kazi na mshahara kama huo, niliishi kwa hizo posho, japo hazikuwa nyingi, huku nikilinda mshahara. Niliishi katika hali ya kawaida kabisa, na niliweza kufanya uwekezaji kwa kiasi chake. Labda tofauti ni kuwa, mimi nilioa baada ya kujipata.
 
Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.

Nimefeli maisha ila sijakata tamaa.

Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya kuthibitishwa nilikopa bank million 12 kwa miaka 5 nikitarajia nitafanya biashara na kiuhalisia nilifanya biashara na kilimo ila zimefeli zote japo kwa kufanya self evaluation ni uzembe wangu binafsi nimeona.

Nimebaki na Take Home ya Laki 4 nina familia ya mke na mtoto 1 ninapambana kibishi japo kibayq zaidi nimepata mwanamke asiye mpambanaji japo ili sio la kulaumu hapo uzembe ni wangu pia.

Kwanini nimekuja kwenu.

Mimi nimeshafanya self evaluation nimeona kabisa nimefeli maisha na nisipokuwa makini naenda kupotea.

Nimeanza kuwa mlevi mtu nisiyejijali kibaya zaidi nimeingia kwenye madeni hadi haya ya kausha damu.
Ninapoongea hapa mwezi huu mshahara napata laki 2 maana nalipa madeni.

Sasa wakuu naomba kwa ukali au hekima karibuni kunishauri.
Nimemtoa mke wangu maana naona kama mzigo sio mtu anayependa kujishughulisha hapa nilishamfungulia biashara pia kwenye huo mkopo na aliua.

Leo nimekaa nimeona nikope kama million 8 nijilipue tena kwenye biashara.

Nitabaki na take home ya laki 3 ndani ya miaka 4 iliyobaki kadi ni muachie yeye adili na chakula.

Mimi huu mkopo wa million 8 nife nao kama nitafeli nifeli tu.

Kiuhalisia sina option yoyote kwa sasa hata mkinishauri ni save nipate mtaji mtakuwa mnanionea bure.

Karibuni kwa ushauri wakuu.
Sina cha kukushauri ila nitakupa mtazamo wangu:
Achana na kausha damu ni heri ulale njaa ila usiingie kwenye mikopo isiyoeleweka.

Jitafakari anza upya, kidhi mahitaji muhimu kwanza kama chakula na malazi, tafuta pesa ndogo tu(hata laki 5) idundulize kwenye kibiashara ikuze ila usichukue pesa nyingi za mkopo bila kuwa na uhakika na biashara ni sawa na kubet na matokeo yake utakosa utulivu wa akili, creativity itapungua mwisho wa siku utajiona looser na kuukaribisha umasikini wa fikra.

Ni heri uchukue mkopo ununue fixed asset ambayo itakuokoa muda wowote kuliko kuingiza kwenye mzunguko usiokuwa na uhakika nao.
 
Mtumishi wa umma ukipata check no emb usibweteke jitahid utoke huko halmashauri kwa namna yeyote ile, kuna taasisi nyingi tu wanavuta noti za kutosha sana yaan kwa mwez mtu hakos allowance more than 800K hapo bado mshahara. Tokeni kwenye TGS mtakufa njaa
hakuna mtu anaependa kuishi kwa mshahara wa halmashaur maana ni mdogo sana na hakuna posho. shda ni kuwa hatuna connections za kuhamia huko kwny taasisi. kama una connection pls tusaidie.
Angalia mazingira yako maana yake watumishi wote mna shida tumia hio Kama fursa kopesha pesa watumishi wenzio kwa riba ya 10% =800,000 kwa mwezi
Save 500,000

Uje mwakan tena na mrejesho

NB:epuka pombe za stress & mrudishe mkeo mtunze apendeze
je ukimkopesha huyo mtumishi afu akakugeuka na kukataa kulipa utafanyaje? mana huna kibali cha kukopesha huezi mshtaki popote. na mshahara ukiingia yeye anatoa kwa simu.
Hili nalo ni tatizo kubwa sana. Yaani kila mtu ana mentality ya kuwa mchuuzi.

Wengine tufikirie inshu nyingine zenye kipato cha maana kama Kilimo, Ufugaji, uvuvi, uzalishaji wa bidhaa, ufundi, uwekezaji masoko ya hisa na hatifungani n.k, sio lazima wote tuwe wachuuzi.
watumishi wengi wanapenda biashara kwa sababu kwny biashara there is leverage yaan biashara inaweza kuendelea ww ukiwa kazn kwako ( in bussiness you can use other people's time). sasa kwny ufundi ni lazma wewe uwepo hapo vinginevyo wale ulowaajiri watakuibia afu wanaenda fungua ofisi kama yako hapo hapo pembeni yako na wanaondoka na wateja wako. haya ukisema ufanye kilimo hyo ardhi unaipata wapi hapa dar?
 
Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.

Nimefeli maisha ila sijakata tamaa.

Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya kuthibitishwa nilikopa bank million 12 kwa miaka 5 nikitarajia nitafanya biashara na kiuhalisia nilifanya biashara na kilimo ila zimefeli zote japo kwa kufanya self evaluation ni uzembe wangu binafsi nimeona.

Nimebaki na Take Home ya Laki 4 nina familia ya mke na mtoto 1 ninapambana kibishi japo kibayq zaidi nimepata mwanamke asiye mpambanaji japo ili sio la kulaumu hapo uzembe ni wangu pia.

Kwanini nimekuja kwenu.

Mimi nimeshafanya self evaluation nimeona kabisa nimefeli maisha na nisipokuwa makini naenda kupotea.

Nimeanza kuwa mlevi mtu nisiyejijali kibaya zaidi nimeingia kwenye madeni hadi haya ya kausha damu.
Ninapoongea hapa mwezi huu mshahara napata laki 2 maana nalipa madeni.

Sasa wakuu naomba kwa ukali au hekima karibuni kunishauri.
Nimemtoa mke wangu maana naona kama mzigo sio mtu anayependa kujishughulisha hapa nilishamfungulia biashara pia kwenye huo mkopo na aliua.

Leo nimekaa nimeona nikope kama million 8 nijilipue tena kwenye biashara.

Nitabaki na take home ya laki 3 ndani ya miaka 4 iliyobaki kadi ni muachie yeye adili na chakula.

Mimi huu mkopo wa million 8 nife nao kama nitafeli nifeli tu.

Kiuhalisia sina option yoyote kwa sasa hata mkinishauri ni save nipate mtaji mtakuwa mnanionea bure.

Karibuni kwa ushauri wakuu.
Pole lakini nina hiki cha kukwambia

“UJUZI MKUBWA MAISHANI NI UWEZE WA KUSIMAMA BAADA YA KUANGUKA /KUJITAFUTA TENA BAADA YA KUPOTEA”

Kila tajir /mtu aliefanikiwa unaemuona amejijengea huu uwezo!

Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom