Mimi ni mwalimu wa science (Physics), ninaombeni kazi ndugu zangu

Boss mimi ni mtaalamu wa mathematica. Kama utaweza fanya tufungue twisheni center ya phy na math
 
Ninafahamu,lkn pale kiingilishi chako kimekutoroka 😂😂😂😂😂😂
 
Watabe wote wa fizikia mliojitokeza kwenye huu uzi, naomba mnifahamishe namna nyambizi inavyofanya kazi, kuanzia kuzama na kuibuka kwake pamoja na utashi wake wa kufyatua makombora ikiwa chini ya maji bila maji kuingia ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…