Walau umekuwa muwazi, pole japo siwezi rudia kukuelewesha. Unazuga, wewe unayejua mbona hujajibu swali hata moja?Sijaelewa. Unadhani hizo forces ni fiction? Kama ni hivyo hujui chochote.
Upungufu mkubwa wa sayansi kama taaluma ni mapungufu yetu binadamu. Uongo, ubinafsi, tamaa, uoga n.k... elimu ya mambo asilia inaweza kutumika Vibaya au vizuri. Kujadili mambo hapa ni faida. Wewe kutukana na kuonyesha ushenzi wako na kukarahisha ni hasara tunayolipa. Yote yamewezeshwa na sayansi. Mambo yote mazuri (mengi sana kuorodhesha maana ni kila kitu kinatokana na maendeleo ya sayansi) unayoona leo yametokana na elimu au ujuzi wa kisayansi na sio imani!
Najua hutaelewa kama kawaida.
Sawa, niache nibaki na nachoamini, na wewe baki na unachoaminiMungu sio hoja ni uzushi. Hamna kitu hapo zaidi ya kichekesho.
I actually follow both if not all; reason, the available data and the feelings that are supported by available data. I also await and welcome more factual support for my present feelings that do not have vivid supporting evidence.Kiuhalisia huko unapotea. Hisia sio kitu kizuri kwenye njia ya kupata na kukubali ukweli, jizuie. Jaribu kuongozwa na ushahidi. Follow the data, not feelings and/ or emotions.
Hujui lolote zaidi ya hizo imani potofu. Kaabudu mungu ulale.Walau umekuwa muwazi, pole japo siwezi rudia kukuelewesha. Unazuga, wewe unayejua mbona hujajibu swali hata moja?
Umepigwa na bumbuwazi, yaonyesha unafahamu mambo machache kwenye fizikia
Sasa jishongondoe kujifanya unajua uharibu hali ya hewa. Waanzilishi wa hizo ideas ndivyo walivyoeleza hivyo
Unataka jibu ulilonalo kichwani. Pole sana.Sijakwambia mapungufu ya wanasayansi, nimekwambia mapungufu ya sayansi, hayo ni mambo mawili tofauti, unachanganya mambo sana rafiki yangu
Shabaha yako ilikuwa kunitusi kwa kuninasibishia kitendo cha ushenzi e?
Sikukuliza faida za sayansi, jibu unachoulizwa
It is a commendable act to be flexible in the face of factual results.I actually follow both if not all; reason, the available data and the feelings that are supported by available data. I also await and welcome more factual support for my present feelings that do not have vivid supporting evidence.
But make no mistake that Uhakika is a blind believer. No. No. Noo. I am willing to abandon any feeling/belief when confronted with a fact/evidence that contradicts the belief. This is because true knowledge, I repeat true knowledge never contradict with the Truth but rather adds to the truth. The Truth never increases since it is One, revelation[divine] and knowledge[scientific] keeps on revealing it. Feelings, sense[reason] and available data all compels man to keep on finding the truth.
Hata were fanya vivyo hivyo maana vyote vina changamoto zao hamna kilichosalimika. Ni kweli unaweza kufeel good kwa kitu fulani kumbe sio fact bhana ni error. Zilizochukuliwa kuwa fact nyingi tu zinazidi kuboreshwa au kukataliwa kutokana na maendeleo ya sayansi. Pia unaweza ukajenga reason inayomake sense kumbe premise uliyoshikilia haipo [not a fact]. Let us keep an open mind, both of us.
Sawa, wewe unayejua mbona umeshindwa kujibu maswali yangu?Hujui lolote zaidi ya hizo imani potofu. Kaabudu mungu ulale.
Hmmm, maswali na majibu yanajieleza, sina cha kuongezaUnataka jibu ulilonalo kichwani. Pole sana.
Ulipotumia msamiati "shongondoa" ulitoa mvuto wote wa maswali yako. Kuna maneno ukiandika yanaeleza mengi sana kukuhusu zaidi ya chochote kile. Huna ustarabu. Ukistarabika utaelewa vitu vingi sana.Sawa, wewe unayejua mbona umeshindwa kujibu maswali yangu?
Sawa, wewe uliyemdhihaki MWENYEZI MUNGU kwa vicheko ndo umestaarabikaUlipotumia msamiati "shongondoa" ulitoa mvuto wote wa maswali yako. Kuna maneno ukiandika yanaeleza mengi sana kukuhusu zaidi ya chochote kile. Huna ustarabu. Ukistarabika utaelewa vitu vingi sana.
Ulipotumia msamiati "shongondoa" ulitoa mvuto wote wa maswali yako. Kuna maneno ukiandika yanaeleza mengi sana kukuhusu zaidi ya chochote kile. Huna ustarabu. Ukistarabika utaelewa vitu vingi sana.
Now your opinion and mine differ in this respect. Everything else about revering Truth and all we are together. But this, no. For me I am willing to have faith to things not seen/factualized yet even those which you call 'superstitions'. I will reject them only if we find facts proving them wrong.It is my opinion to always reject what is taken as known based loose explanations and quite frankly stupid premises. Truth is precious and as any great miners will tell you, the harder the dig the worthiness the bullion.
I reject all superstitions in all its forms.
Mungu ni uzushi. Kucheka au kupuuza hiyo nadharia sio kipimo cha ustarabu.Sawa, wewe uliyemdhihaki MWENYEZI MUNGU kwa vicheko ndo umestaarabika
Does ".... reject them only if we find facts proving them wrong..." mean you are proudly more inclined to superstitions than empirical processes? If so, how are you any different from an uneducated individual who lacks the technical knowhow to overcome the innate need to jump into beliefs?Now your opinion and mine differ in this respect. Everything else about revering Truth and all we are together. But this, no. For me I am willing to have faith to things not seen/factualized yet even those which you call 'superstitions'. I will reject them only if we find facts proving them wrong.
Sasa kutokana na nature ya spiritual things proving wrong is far far close to impossible than proving them right. Spiritually we already did prove them right personally [after all religion is a personal experience]. What remains is the way to prove to other person that believes not in what we believe. There lies the problem.
Niambie hapo Masdinero, mfano kusingekuwepo na nadharia/ mabunio/ dhanio [vyote ni viprecursor vya imani] je? sayansi hii tungekuwa tumepiga hatua kwa kasi hadi kufika hapa? Yaani kweli tutegemee tu kubahatisha au kuona vilivyopo tu tusingefika huku. Kuna hadi ma theoretical physics [na mi napigia chapuo theoretical biology I wonder if it is even a thing[emoji2960][emoji23][emoji23]] na yote yametusaidia kugundua vitu vikubwa sana tu. I would argue kuwa vitu dhahania vinaipeleka mbele sayansi na sio kuirudisha....
Umelazimishwa uamini? wanaoamini uwepo wa MWENYEZI MUNGU ulimwenguni wapo takribani bilioni 7, umeshindwa kuheshimu wanachoamini hadi ujichekeshe hovyo?Mungu ni uzushi. Kucheka au kupuuza hiyo nadharia sio kipimo cha ustarabu.
NADHARIA TULIYOKUWA TUNAJADILIANA YA COMPLEX DESIGN DEMANDS INTELLIGENT DESIGNER KATIKA KUTHIBITISHA UWEPO WA MUNGU NILISHAIFUNGIA MJADALA KWA HITIMISHO LILILOUNGWA MKONO NA MAELEZO YAKO, NA HUO NDO ULIKUWA MJADALA WETU BAINA YANGU MIMI NA WEWE - HATUDAIANIMungu ni uzushi. Kucheka au kupuuza hiyo nadharia sio kipimo cha ustarabu.
Ulipotumia msamiati "shongondoa" ulitoa mvuto wote wa maswali yako. Kuna maneno ukiandika yanaeleza mengi sana kukuhusu zaidi ya chochote kile. Huna ustarabu. Ukistarabika utaelewa vitu vingi sana.
Nyinyi shida yenu huwa mnapenda sana story za Sayansi wala hamuhoji mkisisia mambo ya Quantum Physics, mara Entropy, mara Universal Gravitational Force, mnabweteka hamuhoji tena. Hakuna sehemu inayozidi uongo wa wazi na kubuni mambo kuzidi kwenye Sayansi, sasa unaulizwa maswali marahisi ujibu. Ila hii ndiyo kawaida yenu huwa hamjibu maswali na hii inaonyesha nyinyi ni mashabiki na si wafanya utafiti.Sijaelewa. Unadhani hizo forces ni fiction? Kama ni hivyo hujui chochote.
Ahsante sana KAKANyinyi shida yenu huwa mnapenda sana story za Sayansi wala hamuhoji mkisisia mambo ya Quantum Physics, mara Entropy, mara Universal Gravitational Force, mnabweteka hamuhoji tena. Hakuna sehemu inayozidi uongo wa wazi na kubuni mambo kuzidi kwenye Sayansi, sasa unaulizwa maswali marahisi ujibu. Ila hii ndiyo kawaida yenu huwa hamjibu maswali na hii inaonyesha nyinyi ni mashabiki na si wafanya utafiti.
Mnatakiwa mbadilike aisee, hizi akili mlipewa bure zitumieni ipasavyo.
Shukrani.