masdinero masproblemas
JF-Expert Member
- Mar 19, 2022
- 224
- 177
Jamii forum sio unique. Labda uulize social media imetokea tu? Be serious. Obviously swali halina mantiki. Jamii forum sio chanzo bali matokeo ya mambo mengi tangulizi.Haya hebu jaribu kutuelewesha kwamba "Jamii Forum" imetokea tu yenyewe haina muasisi?
Unaeleza kwa kukwepakwepa weee matokeo yake unapingana na ukweli wa dhahiri
Ila huenda si kosa lako, yawezekana hujui nadharia za kisayansi zinazozungumzia masuala haya
Ni sawa uulize wewe hapo Synonym umeumbwa? Jibu hapana. Wewe sio maalum sana. Ni nakala tu. Tena hata hukupangwa, ni random. Kuzaliwa kwako kuna iterations zisizo na idadi. Kwa upande mwingne na wewe kuzaliwa kwako kumetokea tu. Hakuna formula au ingineering iliyofanyika kukutanisha wazazi wako. Existence yako ni random. Ndio, nilichojaribu kumweleza mwanabaiolojia wetu huko juu. Randomness doesn't mean order isn't inevitable. Kutoka kwenye random pairings zote possible(chaos) wazazi wako wakakutana ukatokea wewe(order). Kuanzisha sijui mambo ya roho, mungu na porojo zingne sio sayansi hiyo.
Life is chaotic. Hakuna outside planning yoyote!