Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Supernatural power inajumlisha dhana zote hadi habari za miujiza ambayo kwako unaona sio ushirikinaNa superstition je?
Dunian hakuna kitu kinaitwa miujiza kila kitu hutokea kulingana na maumbile na sababu maalumu issue ya kupga simu tu unaelewana na mtu kutokea mbali ni amazing zaidi ya yesu kutembea juu ya maji .ambapo sasa sio mtu tu kutembea juu ya maji, sasa meli inabeba watu 20000 nakutembea juu ya maji.Supernatural power inajumlisha dhana zote hadi habari za miujiza ambayo kwako unaona sio ushirikina
Meli na watu ndani ni amazing zaidiDunian hakuna kitu kinaitwa miujiza kila kitu hutokea kulingana na maumbile na sababu maalumu issue ya kupga simu tu unaelewana na mtu kutokea mbali ni amazing zaidi ya yesu kutembea juu ya maji .ambapo sasa sio mtu tu kutembea juu ya maji, sasa meli inabeba watu 20000 nakutembea juu ya maji.
Ni kweli hakuna miujiza kwasababu ni mythsDunian hakuna kitu kinaitwa miujiza kila kitu hutokea kulingana na maumbile na sababu maalumu issue ya kupga simu tu unaelewana na mtu kutokea mbali ni amazing zaidi ya yesu kutembea juu ya maji .ambapo sasa sio mtu tu kutembea juu ya maji, sasa meli inabeba watu 20000 nakutembea juu ya maji.
Hiyo ya kutembea juu ya maji labda kweli ni myth tu. We fikiria kuna faida gani kwa watu yeye akitembea juu ya maji. Na kingine hakutaka kuabuse power alokuwa nayo kuanza kuvunja kanuni alizoweka yeye mwenyewe.Ni kweli hakuna miujiza kwasababu ni myths
Yesu kutembea juu ya maji mguuni akiwa kavalia sendos ni myths
Wewe unakibarua cha kuthibitisha Mungu yupoHiyo ya kutembea juu ya maji labda kweli ni myth tu. We fikiria kuna faida gani kwa watu yeye akitembea juu ya maji. Na kingine hakutaka kuabuse power alokuwa nayo kuanza kuvunja kanuni alizoweka yeye mwenyewe.
Lakini ishu ya kuponya vipofu na wagonjwa, kufufua wafu na kubadili maji kuwa divai [watu wanywe wafurahi na mama afurahi]na kulisha mikate maelfu ya watu [well, inajieleza] hiyo ni miujiza kweli iliyofanyika. Na yote unaona directly watu wanafaidi. Of God for mankind [kwa ajili ya Mungu na kwa wanadamu]
Hata mtu leo akibarikiwa na Mungu kutenda miujiza ataitumia kuwasaidia watu na sio kuanza kuvunja kanuni kwa matakwa binafsi kama kupaa na kutembea juu ya maji.
😏😏Wewe unakibarua cha kuthibitisha Mungu yupo
Kama hili hujaweza kulifanyia kazi kwa siku zote basi sioni sababu ya kuendelea kujadili matawi wakati shina hulijui
Basi ukilifanyia kazi usisite kunijuza mkuu😏😏
Usiwaze, nalifanyia kazi. Ngoja nikuulize;
Mfano nikatengeneza nadharia kwamba Mungu ni lengo, ni kama idea iloamurisha kutokeza kwa vyote na iliyo katika vyote. Halafu nikachukua amino acids nikaweka kwenye test tube. Nikasema kwa kuwa idea ilihitajika ili kuamurisha fujofujonilete vitu vyenye maana zamani. Basi natumia idea fulani [assume ya mafua] kuorganize hizo amino acids zilete kirusi cha mafua. Na kweli tukapata virusi kwenye test tube!! Je utachukulia kwamba uwezo wa mimi kuamrisha kirusi kitokee[simple organism] ni uthibitisho tosha kwamba kuna Mungu aliamurisha viumbe tata[complex organisms] zaidi vitokee? Na aliamurisha hata hizo material za kuwaundia zitokee.
Noo nijulishe kwanza kama hicho kitu bolded kwako itakuwa ni ndiyo, utakuwa ni uthibitisho tosha kwako? au utasema ni logical non sequitorBasi ukilifanyia kazi usisite kunijuza mkuu
Ukisema Mungu ni lengo unakuwa unatengeneza uwanja mpana wa kukiita kila kitu MunguNoo nijulishe kwanza kama hicho kitu bolded kwako itakuwa ni ndiyo, utakuwa ni uthibitisho tosha kwako? au utasema ni logical non sequitor
Bro lazima tukubaliane na viashiria tutakavyotumia maana kama mtu akikudanganya kuwa ataleta uthibitisho wa Mungu huyu hapa laivu nimemleta huyo ni mwongo haiwezekani.Ukisema Mungu ni lengo unakuwa unatengeneza uwanja mpana wa kukiita kila kitu Mungu
Hata magoli ya mugalu nayo ni lengo kufikia ubingwa, so nayo tuyaite Mungu?
Lengo linatengenezwa, utakubali kum refer na Mungu ambaye hana chanzo?
Mi nadhani nikupe tu muda ukajiandae kutafuta majibu sahihi, katika kipindi chote hicho ambacho tumepotezana ndio umeibuka na idea hii?
Hakuna kitu kinachoitwa miujiza,kutokujitambua ndo hufanya vitu vionekane miujiza ,kuponya ni japo linalofanyika kila sku ndani yetu ata bila kujijua .Hiyo ya kutembea juu ya maji labda kweli ni myth tu. We fikiria kuna faida gani kwa watu yeye akitembea juu ya maji. Na kingine hakutaka kuabuse power alokuwa nayo kuanza kuvunja kanuni alizoweka yeye mwenyewe.
Lakini ishu ya kuponya vipofu na wagonjwa, kufufua wafu na kubadili maji kuwa divai [watu wanywe wafurahi na mama afurahi]na kulisha mikate maelfu ya watu [well, inajieleza] hiyo ni miujiza kweli iliyofanyika. Na yote unaona directly watu wanafaidi. Of God for mankind [kwa ajili ya Mungu na kwa wanadamu]
Hata mtu leo akibarikiwa na Mungu kutenda miujiza ataitumia kuwasaidia watu na sio kuanza kuvunja kanuni kwa matakwa binafsi kama kupaa na kutembea juu ya maji.
Na ndio maana hizo unazoziita viashiria nimezi debunkBro lazima tukubaliane na viashiria tutakavyotumia maana kama mtu akikudanganya kuwa ataleta uthibitisho wa Mungu huyu hapa laivu nimemleta huyo ni mwongo haiwezekani.
Labda kwa analojia, kama hiyo hapo juu au kwa kukubaliana kwamba mimi nikiona hiki kitu basi nitakubaliana na hili wazo.
Kama vipi tuambie wewe ni kitu gani kikifanyika, wewe utachukulia kwamba kimethibitisha uwepo wa Mungu?
Jambo la ukweli lazma liingie ndani yako kabsa , ila jambo la kutugwa lazma Liwe na utata coz halipatan kabsa kutokea ndan.Bro lazima tukubaliane na viashiria tutakavyotumia maana kama mtu akikudanganya kuwa ataleta uthibitisho wa Mungu huyu hapa laivu nimemleta huyo ni mwongo haiwezekani.
Labda kwa analojia, kama hiyo hapo juu au kwa kukubaliana kwamba mimi nikiona hiki kitu basi nitakubaliana na hili wazo.
Kama vipi tuambie wewe ni kitu gani kikifanyika, wewe utachukulia kwamba kimethibitisha uwepo wa Mungu?
Utasemaje kuhusu ile iliyofanyika nje ya mwili, mfano maji kuwa divai na kuzidisha/multiply mikate?Hakuna kitu kinachoitwa miujiza,kutokujitambua ndo hufanya vitu vionekane miujiza ,kuponya ni japo linalofanyika kila sku ndani yetu ata bila kujijua .
Sawa hizo umezikataa, ndommaana hata mimi ninayetamani kuleta ushahidi bio-logical nachukua tahadhari nisije nikapata taabu nikauleta na misifa yoote halafu ukaudebunk tu kilaini😒Na ndio maana hizo unazoziita viashiria nimezi debunk
Cosmological, ontological, teleological zote ni nadharia zinazojaribu kuelezea mawazo ya watu kuhusu Mungu lakini hazithibitishi uwepo wa Mungu
Aaah nimeiona pointi yako kuu 'kutokujitambua' ni kweli kwa hali tuliyonayo sasa tupo limited katika mambo tunayoyatambua. Na ni kweli ukikijua kitu utajua kanuni zinazokiendesha na utaweza kufanya mambo ambayo yatakuwa ni 'miujiza' kwa wasiojua.Hakuna kitu kinachoitwa miujiza,kutokujitambua ndo hufanya vitu vionekane miujiza ,kuponya ni japo linalofanyika kila sku ndani yetu ata bila kujijua .
Naona mifano unayotumia kufafanua hoja zako ina uhitaji mkubwa zaidi ya kufafanuliwa kuliko hoja yenyeweSawa hizo umezikataa, ndommaana hata mimi ninayetamani kuleta ushahidi bio-logical nachukua tahadhari nisije nikapata taabu nikauleta na misifa yoote halafu ukaudebunk tu kilaini😒
Nataka kujua kwako wewe ni kipi kitakubalika kama kithibitisho, ilintuambizane hapa kama inawezekana au haiwezekani?
Kama hilo ni gumu kulisema je hili nililotunga linatosheleza?: Je utachukulia kwamba uwezo wa mimi kuamrisha kirusi kitokee[simple organism] ni uthibitisho tosha kwamba kuna Mungu aliamurisha viumbe tata[complex organisms] zaidi vitokee?
Sure nachukuliaga kuwa sisi wanadamu tunao uwezo fulani wa ku-resonate with truth, uwezo unaotokana na Roho wa Mungunaliye ndani yetuJambo la ukweli lazma liingie ndani yako kabsa , ila jambo la kutugwa lazma Liwe na utata coz halipatan kabsa kutokea ndan.