Mimi ni mwanabaiolojia na huu hapa ndio uthibitisho wa uhalali wa Mungu(2)

Superstition power is a riversve supernatural power.
 
Supernatural power inajumlisha dhana zote hadi habari za miujiza ambayo kwako unaona sio ushirikina
Dunian hakuna kitu kinaitwa miujiza kila kitu hutokea kulingana na maumbile na sababu maalumu issue ya kupga simu tu unaelewana na mtu kutokea mbali ni amazing zaidi ya yesu kutembea juu ya maji .ambapo sasa sio mtu tu kutembea juu ya maji, sasa meli inabeba watu 20000 nakutembea juu ya maji.
 
Meli na watu ndani ni amazing zaidi
 
Dunian hakuna kitu kinaitwa miujiza kila kitu hutokea kulingana na maumbile na sababu maalumu issue ya kupga simu tu unaelewana na mtu kutokea mbali ni amazing zaidi ya yesu kutembea juu ya maji .ambapo sasa sio mtu tu kutembea juu ya maji, sasa meli inabeba watu 20000 nakutembea juu ya maji.
Ni kweli hakuna miujiza kwasababu ni myths

Yesu kutembea juu ya maji mguuni akiwa kavalia sendos ni myths
 
Hiyo ya kutembea juu ya maji labda kweli ni myth tu. We fikiria kuna faida gani kwa watu yeye akitembea juu ya maji. Na kingine hakutaka kuabuse power alokuwa nayo kuanza kuvunja kanuni alizoweka yeye mwenyewe.

Lakini ishu ya kuponya vipofu na wagonjwa, kufufua wafu na kubadili maji kuwa divai [watu wanywe wafurahi na mama afurahi]na kulisha mikate maelfu ya watu [well, inajieleza] hiyo ni miujiza kweli iliyofanyika. Na yote unaona directly watu wanafaidi. Of God for mankind [kwa ajili ya Mungu na kwa wanadamu]

Hata mtu leo akibarikiwa na Mungu kutenda miujiza ataitumia kuwasaidia watu na sio kuanza kuvunja kanuni kwa matakwa binafsi kama kupaa na kutembea juu ya maji.
 
Wewe unakibarua cha kuthibitisha Mungu yupo

Kama hili hujaweza kulifanyia kazi kwa siku zote basi sioni sababu ya kuendelea kujadili matawi wakati shina hulijui
 
😏😏

Usiwaze, nalifanyia kazi. Ngoja nikuulize;

Mfano nikatengeneza nadharia kwamba Mungu ni lengo, ni kama idea iloamurisha kutokeza kwa vyote na iliyo katika vyote. Halafu nikachukua amino acids nikaweka kwenye test tube. Nikasema kwa kuwa idea ilihitajika ili kuamurisha fujofujonilete vitu vyenye maana zamani. Basi natumia idea fulani [assume ya mafua] kuorganize hizo amino acids zilete kirusi cha mafua. Na kweli tukapata virusi kwenye test tube!! Je utachukulia kwamba uwezo wa mimi kuamrisha kirusi kitokee[simple organism] ni uthibitisho tosha kwamba kuna Mungu aliamurisha viumbe tata[complex organisms] zaidi vitokee? Na aliamurisha hata hizo material za kuwaundia zitokee.
 
Basi ukilifanyia kazi usisite kunijuza mkuu
 
Noo nijulishe kwanza kama hicho kitu bolded kwako itakuwa ni ndiyo, utakuwa ni uthibitisho tosha kwako? au utasema ni logical non sequitor
 
Ukisema Mungu ni lengo unakuwa unatengeneza uwanja mpana wa kukiita kila kitu Mungu

Hata magoli ya mugalu nayo ni lengo kufikia ubingwa, so nayo tuyaite Mungu?

Lengo linatengenezwa, utakubali kum refer na Mungu ambaye hana chanzo?

Mi nadhani nikupe tu muda ukajiandae kutafuta majibu sahihi, katika kipindi chote hicho ambacho tumepotezana ndio umeibuka na idea hii?
 
Bro lazima tukubaliane na viashiria tutakavyotumia maana kama mtu akikudanganya kuwa ataleta uthibitisho wa Mungu huyu hapa laivu nimemleta huyo ni mwongo haiwezekani.

Labda kwa analojia, kama hiyo hapo juu au kwa kukubaliana kwamba mimi nikiona hiki kitu basi nitakubaliana na hili wazo.

Kama vipi tuambie wewe ni kitu gani kikifanyika, wewe utachukulia kwamba kimethibitisha uwepo wa Mungu?
 
Hiyo ya kutembea juu ya maji labda kweli ni myth tu. We fikiria kuna faida gani kwa watu yeye akitembea juu ya maji. Na kingine hakutaka kuabuse power alokuwa nayo kuanza kuvunja kanuni alizoweka yeye mwenyewe.

Lakini ishu ya kuponya vipofu na wagonjwa, kufufua wafu na kubadili maji kuwa divai [watu wanywe wafurahi na mama afurahi]na kulisha mikate maelfu ya watu [well, inajieleza] hiyo ni miujiza kweli iliyofanyika. Na yote unaona directly watu wanafaidi. Of God for mankind [kwa ajili ya Mungu na kwa wanadamu]

Hata mtu leo akibarikiwa na Mungu kutenda miujiza ataitumia kuwasaidia watu na sio kuanza kuvunja kanuni kwa matakwa binafsi kama kupaa na kutembea juu ya maji.
Hakuna kitu kinachoitwa miujiza,kutokujitambua ndo hufanya vitu vionekane miujiza ,kuponya ni japo linalofanyika kila sku ndani yetu ata bila kujijua .
 
Bro lazima tukubaliane na viashiria tutakavyotumia maana kama mtu akikudanganya kuwa ataleta uthibitisho wa Mungu huyu hapa laivu nimemleta huyo ni mwongo haiwezekani.

Labda kwa analojia, kama hiyo hapo juu au kwa kukubaliana kwamba mimi nikiona hiki kitu basi nitakubaliana na hili wazo.

Kama vipi tuambie wewe ni kitu gani kikifanyika, wewe utachukulia kwamba kimethibitisha uwepo wa Mungu?
Na ndio maana hizo unazoziita viashiria nimezi debunk

Cosmological, ontological, teleological zote ni nadharia zinazojaribu kuelezea mawazo ya watu kuhusu Mungu lakini hazithibitishi uwepo wa Mungu
 
Jambo la ukweli lazma liingie ndani yako kabsa , ila jambo la kutugwa lazma Liwe na utata coz halipatan kabsa kutokea ndan.
 
Hakuna kitu kinachoitwa miujiza,kutokujitambua ndo hufanya vitu vionekane miujiza ,kuponya ni japo linalofanyika kila sku ndani yetu ata bila kujijua .
Utasemaje kuhusu ile iliyofanyika nje ya mwili, mfano maji kuwa divai na kuzidisha/multiply mikate?
 
Na ndio maana hizo unazoziita viashiria nimezi debunk

Cosmological, ontological, teleological zote ni nadharia zinazojaribu kuelezea mawazo ya watu kuhusu Mungu lakini hazithibitishi uwepo wa Mungu
Sawa hizo umezikataa, ndommaana hata mimi ninayetamani kuleta ushahidi bio-logical nachukua tahadhari nisije nikapata taabu nikauleta na misifa yoote halafu ukaudebunk tu kilaini😒

Nataka kujua kwako wewe ni kipi kitakubalika kama kithibitisho, ilintuambizane hapa kama inawezekana au haiwezekani?

Kama hilo ni gumu kulisema je hili nililotunga linatosheleza?: Je utachukulia kwamba uwezo wa mimi kuamrisha kirusi kitokee[simple organism] ni uthibitisho tosha kwamba kuna Mungu aliamurisha viumbe tata[complex organisms] zaidi vitokee?
 
Hakuna kitu kinachoitwa miujiza,kutokujitambua ndo hufanya vitu vionekane miujiza ,kuponya ni japo linalofanyika kila sku ndani yetu ata bila kujijua .
Aaah nimeiona pointi yako kuu 'kutokujitambua' ni kweli kwa hali tuliyonayo sasa tupo limited katika mambo tunayoyatambua. Na ni kweli ukikijua kitu utajua kanuni zinazokiendesha na utaweza kufanya mambo ambayo yatakuwa ni 'miujiza' kwa wasiojua.

Miujiza iliyofanywa na inayoendelea kufanywa inatuonesha waziwazi kuwa yule mtenda miujiza anao ujuzi wote na anaelewa kanuni zote jinsi zinavyofanya kazi na ndio maana amefanya mambo tunayoyaita miujiza. I agree
 
Sawa hizo umezikataa, ndommaana hata mimi ninayetamani kuleta ushahidi bio-logical nachukua tahadhari nisije nikapata taabu nikauleta na misifa yoote halafu ukaudebunk tu kilaini😒

Nataka kujua kwako wewe ni kipi kitakubalika kama kithibitisho, ilintuambizane hapa kama inawezekana au haiwezekani?

Kama hilo ni gumu kulisema je hili nililotunga linatosheleza?: Je utachukulia kwamba uwezo wa mimi kuamrisha kirusi kitokee[simple organism] ni uthibitisho tosha kwamba kuna Mungu aliamurisha viumbe tata[complex organisms] zaidi vitokee?
Naona mifano unayotumia kufafanua hoja zako ina uhitaji mkubwa zaidi ya kufafanuliwa kuliko hoja yenyewe

Kwanini unanifunga kimawazo na kuniwekea mipaka kufikiri, kwamba kwa swala la wewe kuamrisha kirusi litanifikirisha katika angle ya kimungu na sio kiuchunguzi au namna nyingine isiyohusha Mungu?
 
Jambo la ukweli lazma liingie ndani yako kabsa , ila jambo la kutugwa lazma Liwe na utata coz halipatan kabsa kutokea ndan.
Sure nachukuliaga kuwa sisi wanadamu tunao uwezo fulani wa ku-resonate with truth, uwezo unaotokana na Roho wa Mungunaliye ndani yetu
 
Back
Top Bottom