Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Naam
Naam
Hope you are okayNaam
Hivi kweli ujiue kisa mwanamke? Hebu Wacha vituko. Ukijiua huyo mtoto si atabaki bila baba? Na ukujiua si ndiyo watapata uhuru zaidi? Cha kwanza hapo mpige huyo mwanamke chini hakufai kabisa huyoWasalamu.
Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule.
Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie.
.Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni mwanaume ninayenyanyaswa. Nimelipa ada kamtoa mtoto shule bila Ridhaa yangu.
Hivi kumbe maamuzi ya kuachana na mwanamke kumbe ni process ngumu sana?Naomba jamii Forum iwe msaada kwangu.Huyu ni mwalimu mwenzangu yupo Babati Manyara.Nimejitoa kumpeleka mwanangu shule ya bweni kamtoa. NATAMANI KUJIUA ila naombeni mnisaidie.Shule ni Ngolei Primary School
Nipo salama pia. Nilimiss kuona mwandiko wako hapa jukwaani.Yah
I'm good
Hofu kwako Mkuu
Nashukuru MkuuNipo salama pia. Nilimiss kuona mwandiko wako hapa jukwaani.
Sijabadili ID. Sema sikuwahi ku-interact with you, but nilipenda kusoma maandishi yako, kulike na kupita kimya .N
Nashukuru Mkuu
Japo sijakukumbuka bado
Au umebadili id?
Oh nashukuru sana MkuuSijabadili ID. Sema sikuwahi ku-interact with you, but nilipenda kusoma maandishi yako, kulike na kupita kimya .