Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

Inaonekana we ni mme bwege


Nipen deal of million dollars, kwishaa
 
Nimemtext wasap
At least unge like msg zake watu wangejua umesoma ujumbe wake
Ila Umebaki kujibu msg za wadau tu kuhusu mtoto

Kuna shida sana hapa
Nia yako ilikuwa ni Waziri ila ukashindwa hata kusoma msg yake
Pole sana
Maisha haya usiyachukulie serious
 
Ila kusema kweli naamini chapisho la NASA lilillosema dunia imeongeza speed kwenye muhimili wake...yaani siku hizi wanaume ndio wanalia na kukumbilia kwenye vyombo vya dola kuomba msaada aah kweli wanawake wa siku hizi ni ma shababy
 
Mara nyingi sana wanawake ndio huwa ni wahanga kwa kuonewa au kupigwa ndio mana hata sheria zinawatetea zaidi wao. Ila sometimes kuna wanaume ambao pia wanaonewa kweli kweli
 
Hanipigi ila kamtoa mtoto shule kwa kudanganywa.Nilipanga nimdhuru ila nimeleta na kuomba msaada hapa wadau.Naomba mumtagi waziri Gwajma. Mimi nimeamua kuleta malalamiko hapa mana naamini waziri yupo hapa na wadau wote mpo hapa
Pole sana kama ni kweli.
Shida ni kumtoa mtoto shule na kumuweka nyumbani au kamuhamishia shule nyingine.
Kingine mbona hauna hata sababu ya kujiua ndugu, hizo allegations ulizoweka cha mtoto, vipi chakula anakuandalia, mzigo unapewa, anafanya uzinzi live live mbele yako etc..???
Otherwise pambana na maisha wewe..acha kulialia.
 
Naomba jamii Forum iwe msaada kwangu.Huyu ni mwalimu mwenzangu yupo Babati Manyara.Nimejitoa kumpeleka mwanangu shule ya bweni kamtoa. NATAMANI KUJIUA ila naombeni mnisaidie.Shule ni Ngolei Primary School
Alivyomtoa mtoto shule akampeleka wapi?uonevu wenyewe ni huo tu wa mtoto kuhamishwa shule au kuna mambo mengine zaidi?
 
Wasalamu.

Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule.

Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie.

.Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni mwanaume ninayenyanyaswa. Nimelipa ada kamtoa mtoto shule bila Ridhaa yangu.
Oa mke wa pili tu hakuna mwanaume mwenye mke zaidi ya mmoja anayenyanyaswa na mke wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalamu.

Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule.

Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie.

.Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni mwanaume ninayenyanyaswa. Nimelipa ada kamtoa mtoto shule bila Ridhaa yangu.
Walimu si mna tume ya utumishi wa walilu,kwanini usianzie huko?
 
Kwa vile huyajui mazingira unaweza ukanihukumu hivyo ndugu.Mtoto wangu anakuaje na vyeti viwili vya kuzaliwa? Na niliviona.Je ningemdhuru huyu mwanamke si ingekula kwangu?
sio mtoto wako
 
Back
Top Bottom