Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

Mbona siku hizi watoto wa kiume wanakuwa laini laini sana.....yaani mkuu unataka kujitoa uhai kwa jambo dogo kama hili......hebu ushike moyo wako kama mwanaume bhana
Usijidanganye yalikuwepo tangu zamani lakini yalikuwa yanafichwa.
 
Na huyu mwanamke anapewa jeuri na huyu mwanaume.
 
Hongera kwa kupaza sauti!
Wanaume wengi wanaonewa hadi makwenzi wanapigwa ila wanaona aibu kusema.
Kama Mwashambwa yeye hasemi kabisa🤔
Hatua mbaya sana hii..huyu mwalimu kaumizwa sana sana. Asaidiwe kuachana na huyo mwanamke
 
Naomba jamii Forum iwe msaada kwangu.Huyu ni mwalimu mwenzangu yupo Babati Manyara.Nimejitoa kumpeleka mwanangu shule ya bweni kamtoa. NATAMANI KUJIUA ila naombeni mnisaidie.Shule ni Ngolei Primary School
Kwahiyo kumtoa mtoto shule ndio anakunyanysa? Wewe ni mwalimu na unashindwa kujieleza?
 
Naogopa mana baba yangu mdogo nilimuona amejiua 2000 kwa kujinyonga.Na huenda alikaa na matatizo yake bila kumwambia mtu.Sioni aibu kuweka shida yangu kwa waelewa.
Bhas ukoo wenu una asili ya kujinyonga nilitaka kyshangaa ili suala mbona dogo sa a kuna watu wana matatizo chungu mzima na wanakomas kuyasolve ila ww kimosa kdg unataka kujinyonga kumbe kwenu mna asili ya kujinyonga bhas kuna siku utajinyinga kweli trust me
 
Wengi wataniona mimi ni mjinga lakini mpaka naandika hapa najua jukwaa hili lina wajuzi wengi.
Achana nae siyo mama yako aliyekuzaa. Mwanamke wa kunisumbua kichwa Duniani hapa ni mama yangu aliyenizaa ,achana na huyo umekutana naye ukubwani.

Mwanamke anaenda kutombwar na wanaume wengine bado unamng'ng'ania , hakutaki achana naye
 
Achana nae siyo mama yako aliyekuzaa. Mwanamke wa kunisumbua kichwa Duniani hapa ni mama yangu aliyenizaa ,achana na huyo umekutana naye ukubwani.
Ukobsawa kabisa haiwezekani mwanamke akufabye utake kujinyonga yaan huyu anafaa apelekwe kwa wataalam wa saikolojia huyu anaenda jinyonga kweli mana haimake sensekuna mtu alikuwa na watoto watatu na mke wa ndoa kwenda kuchake DNA wale watoto wote sio wake aligombana na mkewe akaropoka kwenda kuchake sio wake kweli na kashasomesha mpaka form three wengine wako form one but jamaa alipiga moyo konde na akaenddlea ku survive kaoa mwengine ss yy kaona ishu iyo kdg analalamika kujinyonga
 
Asante mkuu,hakuna anayejua namna ninavyojisikia.Mungu ndie anayejua.
Wanawake wengi unajisikia vibaya kwa hiyo mmoja,kwani ni mama yako,acha uzembe piga chini oa nyingine omba uhamisho zalisha watoto wengine,mwisho tafuta sana Hela maana kazi ya ualimu unayoifanya ndiyo inakusababisha kuwa mnyonge mpaka mkeo anakudharau anaona mjeda ni nafuu kuliko wewe
 
Ukute mwanamke ni bonge la pisi la Kiiraki,jamaa moyo unamuuma mwanajeshi kujilia mali huku yeye akinyimwa mzigo ndani na anamsukiliza mwanajeshi kuliko mumewe,ukizungatia na mke ni mwalimu aloooh!
atakua anajiendekeza vibaya mkuu, kwenye maisha ukizidiwa mbinu unatafuta mbinu zingine pia - -- akubali hali halisi
 
Wanawake wengi unajisikia vibaya kwa hiyo mmoja,kwani ni mama yako,acha uzembe piga chini oa nyingine omba uhamisho zalisha watoto wengine,mwisho tafuta sana Hela maana kazi ya ualimu unayoifanya ndiyo inakusababisha kuwa mnyonge mpaka mkeo anakudharau anaona mjeda ni nafuu kuliko wewe
Kama ana ushahidi wa kuaminika aende nao kikosini ambako huyo askari anafanya kazi aombe kumuona mkuu wa kikosi (OC). Akiwa na vielelezo vyake. Kosa hilo kijeshi ni moja ya makosa makubwa ya kufukuzwa jeshi. Usiogope hao MP wa Quaoter guard. Maana wa naweza kukutisha ukakimbia.
 
Back
Top Bottom