Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

Hanipigi ila kamtoa mtoto shule kwa kudangqnywa.Nilipanga nimdhuru ila nimeleta na kuomba msaada hapa wadau.Naomba mumtagi waziri Gwajma. Mimi nimeamua kuleta malalamiko hapa mana naamini waziri yupo hapa na wadau wote mpo hapa
Aiseeeh!
 
Dah! Changamoto hii mkuu.
Nakupongeza kwa uvumilivu wako kwenye hili.
Inaonesha kuna mengi mazito.

Ina maanisha mtoto ana baba wawili sio?
Hapo kuna bomu linakuja, once a hoe always a hoe.
2019 alitoka akaacha chumba chake wazi nikaingia nikafunua droo nikaona hivyo vyeti.Hicho chumba hua anakifunga mda wote.
 
Wasalamu.

Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule.

Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie.

.Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni mwanaume ninayenyanyaswa. Nimelipa ada kamtoa mtoto shule bila Ridhaa yangu.
Mwanaume acha kulia lia, chukua maamuzi magumu.

Mwanamke anazingua piga chini, akazingua na mtoto mwachie alee mwenyewe, yakimshinda atakutafuta tu akupe mtoto wako
 
Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni mwanaume ninayenyanyaswa. Nimelipa ada kamtoa mtoto shule bila Ridhaa yangu.🥺🥺🥺
 
Dah! Changamoto hii mkuu.
Nakupongeza kwa uvumilivu wako kwenye hili.
Inaonesha kuna mengi mazito.

Ina maanisha mtoto ana baba wawili sio?
Hapo kuna bomu linakuja, once a hoe always a hoe.
2019 alitoka akaacha chumba chake wazi nikaingia nikafunua droo nikaona hivyo vyeti.Hicho chumba hua anakifunga mda wote
Ulichukua hatua gani baada ya kugundua hilo?
Niliwaambia wazazi wake hawajujibu chochote
 
2019 alitoka akaacha chumba chake wazi nikaingia nikafunua droo nikaona hivyo vyeti.Hicho chumba hua anakifunga mda wote

Niliwaambia wazazi wake hawajujibu chochote
Sikupenda kuyasambaza sana mana wazazi wangu hasa mama ana ugonjwa wa Moyo.Naogopa kumpoteza mama yangu
 
2019 alitoka akaacha chumba chake wazi nikaingia nikafunua droo nikaona hivyo vyeti.Hicho chumba hua anakifunga mda wote

Niliwaambia wazazi wake hawajujibu chochote
Kabla ya wazazi mlengwa ulivyomwuliza alikupa jibu gani, inaonesha hukuridhika na jibu lake.

Ila kama hukuchukua hatua yoyote ya maana mi naona tatizo lipo kwako pia.
 
Punguza uzungu mzee wakati umezungukwa na waswahili,uko afrika hii afu unang'ang'ania kulea mtoto!!!?? Ndio maana nasema punguza uzungu na kisha fyatua watoto kadri uwezavyo,ungekuwa nao angalau watano mpaka sasa usingehangaika na huyo mmoja,kwanza ungehisi umesaidiwa na bwana mjeda.Tatizo uzungu umewajaa ukishapata ka junior kamoja mnakalea kama yai na unahisi hiyo ndio roho yako.Dunia ya sasa inayotawaliwa na hawa single mothers na ma slay queen na ma miss independent ni kugawa mbegu tu afu waachie walee wao kisha wewe kula maisha,watoto watakutafuta wakishakua

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
usijiuwe mkuu, achana na mkeo
Ukute mwanamke ni bonge la pisi la Kiiraki,jamaa moyo unamuuma mwanajeshi kujilia mali huku yeye akinyimwa mzigo ndani na anamsukiliza mwanajeshi kuliko mumewe,ukizungatia na mke ni mwalimu aloooh!
 
Back
Top Bottom