Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 2,078
- 2,759
Komaa nae mpaka akung'ate ulimi
Weee ni mtu na nusu ujue, miye napenda unavyowajibika dada yangu.Njoo sms 0765 345777 tafadhali copy tuma huu ujumbe huko. Ila kesho ndiyo nitasoma na kukupa afisa wa kukusikiliza. Shukrani
Mapenzi na ndoa vimeishakuwa problems, ila waifu material ni ku enjoy tu, sema ndio hanitakiDaah kichapo sio poa kabisa ndo maana walimu wanakujaga na mahasira SHULENI kumbe home kichapo kinagaiwa duuh
Duh ila wewe Waziri unaijua kazi yako. I'm overly impressed.Njoo sms 0765 345777 tafadhali copy tuma huu ujumbe huko. Ila kesho ndiyo nitasoma na kukupa afisa wa kukusikiliza. Shukrani
Chawa on the beat🎶Weee ni mtu na nusu ujue, miye napenda unavyowajibika dada yangu.
Nimependa sana JUBUaki mkuuNjoo sms 0765 345777 tafadhali copy tuma huu ujumbe huko. Ila kesho ndiyo nitasoma na kukupa afisa wa kukusikiliza. Shukrani
Naomba jamii Forum iwe msaada kwangu.Huyu ni mwalimu mwenzangu yupo Babati Manyara.Nimejitoa kumpeleka mwanangu shule ya bweni kamtoa. NATAMANI KUJIUA ila naombeni mnisaidie.Shule ni Ngolei Primary School
Sasa uchawa wangu upi broChawa on the beat🎶
Kupiga chini sio swala la msingi kwasasa issue iko kwenye solution kwanzaMkuu pole sana,,ingaw nmchela ila nimeumzwa san na hii..nakuomb pga chin ingaw n ngum ila jtahd t we n mwnaum,.ht ufanyaj tayl hy c wk. Kubalian n hal
No worries mkuu 😂Sasa uchawa wangu upi bro
Lugha gongana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kupiga chini sio swala la msingi kwasasa issue iko kwenye solution kwanza
Kabla ya wazazi mlengwa ulivyomwuliza alikupa jibu gani, inaonesha hukuridhika na jibu lake.
Ila kama hukuchukua hatua yoyote ya maana mi naona tatizo lipo
Sasa huyo mtoto tumempataje?tatizo ana tamaa kupitiliza.Majukumu ya mwanaume KW mke sio kulipa Ada tu.mbona humpi unyumba Hadi jeshi limeingilia kati
Hii kitu mama mzazi amenionya.Very big Point menKama unaweza kukuta mke wako anavyeti viwili vya kuzaliwa kwa mtoto wako na Hauna nguvu za kumuuliza naweza sema kwamba kwa upande mwingine hata wewe una matatizo tena makubwa sana.
Hivi inakuwaje kwenye nyumba yako au hata kama ni yenu mwanamke akawa anachumba chake cha siri ambacho hata wewe hauna access ya kuingia.
Sijui wewe ni kabila gani au umri wako mpaka umeamua kutawaliwa kijinga hivyo na mwanamke.
Kilicho baki Niwewe Kusukiwa Mpango wa kuuwawa. Visa vya Migogoro kama yako Mwisho wake huwa ni Njama za Mauwaji either akuwahi au umuwahi.
Umeona jibu la waziri wa ustawi wa jamii hapo juu? Aliacha namba yake na kukwbia um text. Umeshamcheki?Why Sir?
Ubarikiwe sana cute mama,aisee❤️Njoo sms 0765 345777 tafadhali copy tuma huu ujumbe huko. Ila kesho ndiyo nitasoma na kukupa afisa wa kukusikiliza. Shukrani
Sa taarifa gani hiyo😒Wasalamu.
Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule.
Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie.
.Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni mwanaume ninayenyanyaswa. Nimelipa ada kamtoa mtoto shule bila Ridhaa yangu.