Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

Wasalamu.

Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule.

Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie.

.Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni mwanaume ninayenyanyaswa. Nimelipa ada kamtoa mtoto shule bila Ridhaa
Wasalamu.

Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule.

Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie.

.Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni mwanaume ninayenyanyaswa. Nimelipa ada kamtoa mtoto shule bila Ridhaa yangu.
Pole sana, bila shaka mpaka hapo umefikia uwezo wako wa mwisho wa kujishauri, wala usijidhuru maana utakuwa umesababisha hasara kubwa, na wala usimdhuru mke wako.

Mpaka unafikia hatua hii bila shaka kuna mengi nyuma ya pazia


Pengine labda umejaribu kumuuliza mke wako ni kwa nini kamhamisha mtoto bila ridhaa yako?
 
Kama umemuoa kwa ndoa na askari ameingilia ndoa yako kuiharibu hebu peleleza kwanza kituo chake cha kazi share nasi humu
Hapo unakuta askari ana mkewe na hatoi matumizi ya kutosha,anaenda kuvuruga ndoa ya mwana.
 
Kuna wale sijui ndo watetezi wa haki za binadamu.

Kuna ukiukwaji wa haki kama huu, ila, wakiuona wanaupita kama wanaaga maiti. Ila ikiwa upande wa pili; watakavochangamkia fursa sasa.
 
Wasalamu.

Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule.

Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie.

.Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni mwanaume ninayenyanyaswa. Nimelipa ada kamtoa mtoto shule bila Ridhaa yangu.
Sauti inayokuambia ujiue ni ya shetani. Ikatae kwa Jina la Yesu. Ukijiua unajipeleka jehanam(katika moto wa milele). Kujiua sio kupumzika. Ni sawa na kuruka majivu ukakanyaga moto
 
Kwanza acha kujiita mwenye kipato duni Mtumishi, amua Leo unatamani ufanye nini ukuze hicho kipato

Lingine, kumbuka na ijue nguvu ya kuwa baba katika familia uliyoiunda

Kuna uwezekano umeteleza sehemu hasa unapojiita na kujiona mwenye kipato duni hapo ndipo unapoharibu...

Kuteleza siyo kuanguka, inuka kubali kuanza upya na itafute nguvu yako hasa ya kifedha atakuheshimu tu'
Aachane na huyo mwanamke na kama mtoto ni wako yaani wewe ndie biological father afanye kumchukua na kumtafutia mazingira mazuri ya kuishii....

Sipendezwi sana na mtoto wa primary school kuishi boarding school nayasema haya NIMEISHI U BOYZN Shule yenye wanafunzi elfu moja na ushee NAJUA MAISHA YA BOARDING SCHOOL SIO MAZURI KWA WATOTO WA PRIMARY SCHOOL labda iwe shule yenye special treatment.

Huyo mwanamke hamuwezi kutengana maana Kuna kitu kinawaunganisha ambae ni mtoto najua kinacho kuumiza ni mkeo/ mama wa mtoto wako kuliwa uroda na mwanajeshi na wewe unampenda na huna la kumfanya

LET HER GO... WEWE NI MWANAUME CHIMBA KABURI LAKE MOYONI MFUKIE HUMO.. MAISHA YAENDELEE
 
Njoo sms 0765 345777 tafadhali copy tuma huu ujumbe huko. Ila kesho ndiyo nitasoma na kukupa afisa wa kukusikiliza. Shukrani
MH hivi kwann hukufikiria kuchukua form ya kugombea ubunge? Jamii Bado inakuhitaji sana ndani ya serikali ila usijar hata usipochaguliaa uwazir Baraza lijalo 2030 Chadema ikichukua nchi tutakupa uwazir mkuu.
 
Wasalamu.

Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule.

Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie.

.Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni mwanaume ninayenyanyaswa. Nimelipa ada kamtoa mtoto shule bila Ridhaa yangu.
Hizi ndio operations wanajeshi wetu wanaziweza wakati IDF Kule wana Operation Iron Sword, Operation Rising Lion sisi wanajeshi wetu Wana Operation Vua Chupi .

BTW mkuu una uhakika huyo mtoto ni damu Yako?
 
2019 alitoka akaacha chumba chake wazi nikaingia nikafunua droo nikaona hivyo vyeti.Hicho chumba hua anakifunga mda wote.
Kwaiyo ni mkeo japo mnaishi pamoja ila mmetengana vyumba.?
 
Kama unaweza kukuta mke wako anavyeti viwili vya kuzaliwa kwa mtoto wako na Hauna nguvu za kumuuliza naweza sema kwamba kwa upande mwingine hata wewe una matatizo tena makubwa sana.

Hivi inakuwaje kwenye nyumba yako au hata kama ni yenu mwanamke akawa anachumba chake cha siri ambacho hata wewe hauna access ya kuingia.

Sijui wewe ni kabila gani au umri wako mpaka umeamua kutawaliwa kijinga hivyo na mwanamke.

Kilicho baki Niwewe Kusukiwa Mpango wa kuuwawa. Visa vya Migogoro kama yako Mwisho wake huwa ni Njama za Mauwaji either akuwahi au umuwahi.
Kabla ya wao kutaka kumuua yeye mwenyewe anataka kijiua

Anaonesha kila dalili ya wivu lakini anakanusha

Sababu ya mtoto kutolewa shule japo ni udhaifu wake, haitoshi kumfanya atake kijiua

Huyu ana kauzito fulani kiakili inakopelekea kutafsirika vibaya na mwenza wake

Na ukweli mpaka sasa huyo si mwenza wake ila yeye anamng'ang'ania kimaslahi pia, huku akitarajia ipo siku atabadilika

Hataki waachane wasije gawana walichochuma pamoja kwa faida ya mtoto wao, hilo linamtisha pia

Huyu ana kila dalili kuwa 6*6 ana changamoto, na huyo mjeda keshajua udhaifu wake
 
Wasalamu.

Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule.

Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie.

.Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni mwanaume ninayenyanyaswa. Nimelipa ada kamtoa mtoto shule bila Ridhaa yangu.

Mkuu, kwanza kabisa ni muhimu ujue kwamba maisha yako ni ya thamani sana mbele za Mungu. Wewe ni kiumbe wa kipekee uliyoumbwa kwa kusudi maalum, na changamoto unazopitia sasa hazibadilishi upendo wa Mungu kwako. Biblia inasema: “Kwa maana mimi najua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, mawazo ya amani, wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.” (Yeremia 29:11). Maneno haya yanatufundisha kwamba Mungu ana mpango bora kwa maisha yako, na si mapenzi yake ufe au uishi kwa mateso yasiyo na tumaini.

Katika hali ya dhiki na maumivu kama haya, hatua ya kwanza ni kumkaribia Mungu kwa maombi ya dhati. Zaburi 34:17-18 inasema: “Wenye haki walilia, Bwana akasikia, akawaokoa na dhiki zao zote. Bwana yu karibu na waliovunjika moyo, na huokoa waliopondeka roho.” Mungu yu karibu nawe sasa, yupo tayari kukupa faraja na msaada. Maombi sio tu maneno unayoyasema, bali ni kumimina moyo wako kwa Mungu kwa uaminifu, kumuambia uchungu wako wote na kumruhusu akupe amani.

Changamoto za ndoa ni ngumu sana, hasa pale ambapo kuna usaliti au kutothaminiwa. Hata hivyo, Biblia inatufundisha kwamba msamaha una nguvu ya kipekee. Kusamehe hakumaanishi kukubali dhuluma au kupuuzia makosa, bali ni kuachilia uchungu unaokula nafsi yako. Yesu alisema, “Msamehe, nanyi mtasamehewa.” (Luka 6:37). Ukiwa na moyo wa msamaha, utapata amani ya ndani, na hekima ya Mungu itakusaidia kufanya maamuzi sahihi kuhusu ndoa na familia yako.

Ni muhimu pia ulinde uhai wako kwa sababu wewe ni hekalu la Mungu. 1 Wakorintho 3:16-17 inatufundisha kwamba sisi ni hekalu la Roho Mtakatifu. Mawazo ya kujiua siyo kutoka kwa Mungu; hayo ni mawazo ya adui Shetani anayekuja kuua na kuharibu (Yohana 10:10). Chagua kuishi kwa sababu Mungu anakuita kwa kusudi kubwa. Watoto wako wanakuhitaji, na maisha yako ni ushuhuda wa nguvu ya Mungu kwa wengine.

Usibaki peke yako katika hali hii. Tafuta ushauri na msaada wa kiroho kutoka kwa wachungaji, viongozi wa imani, au waumini wenzako. Yesu alisema, “Mahali wawili au watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo.” (Mathayo 18:20). Ushirika wa Kikristo na maombi ya pamoja vinaweza kukupa nguvu mpya na msaada wa kiroho unaohitaji.

Kumbuka pia kuwa watoto wako ni zawadi ya Mungu, kama Zaburi 127:3 inavyosema: “Tazama, watoto ni urithi wa Bwana, uzao ni thawabu yake.” Ingawa hali ya kifamilia ina changamoto, waombee watoto wako kila siku ukiamini kwamba Mungu ana mpango wa ajabu kwa maisha yao. Weka familia yako mikononi mwa Mungu na mtumie Yeye kama nguzo ya kila uamuzi unaofanya.

Kumbuka kila siku changamoto zako si za kudumu. Mungu anaweza kubadilisha maisha yako, ndoa yako, na familia yako kwa nguvu zake. Badala ya kukata tamaa, simama imara katika imani, omba kwa bidii, na tafuta hekima ya Mungu katika kila hatua. Maisha yako ni ushuhuda wa neema ya Mungu, na kupitia changamoto hizi, anaandaa ushindi mkubwa kwa ajili yako na kwa watoto wako.
 
Back
Top Bottom