1Africa54
JF-Expert Member
- Feb 15, 2025
- 464
- 549
Wewe ni next levelNjoo sms 0765 345777 tafadhali copy tuma huu ujumbe huko. Ila kesho ndiyo nitasoma na kukupa afisa wa kukusikiliza. Shukrani
Wewe ni next levelNjoo sms 0765 345777 tafadhali copy tuma huu ujumbe huko. Ila kesho ndiyo nitasoma na kukupa afisa wa kukusikiliza. Shukrani
Mungu akubariki Mh. Waziri kazin yako imetukuka sanaNjoo sms 0765 345777 tafadhali copy tuma huu ujumbe huko. Ila kesho ndiyo nitasoma na kukupa afisa wa kukusikiliza. Shukrani
Una uhakika mtoto ni wako mkuu. Na mtoto kutolewa shule ndo unataka kujiua?Hanipigi ila kamtoa mtoto shule kwa kudangqnywa.Nilipanga nimdhuru ila nimeleta na kuomba msaada hapa wadau.Naomba mumtagi waziri Gwajma. Mimi nimeamua kuleta malalamiko hapa mana naamini waziri yupo hapa na wadau wote mpo hapa
Umeshakujulisha hapo nn huelewi, nenda sasa kajiue tule Wali sisi.Hanipigi ila kamtoa mtoto shule kwa kudangqnywa.Nilipanga nimdhuru ila nimeleta na kuomba msaada hapa wadau.Naomba mumtagi waziri Gwajma. Mimi nimeamua kuleta malalamiko hapa mana naamini waziri yupo hapa na wadau wote mpo hapa
Pole sana, usiweke mawazo ya kujiuwa. Suluhisho lipo, yatatatulika tu. Mwenyezi Mungu, akuguse ukawe na amani na Imani mpya.Naomba jamii Forum iwe msaada kwangu.Huyu ni mwalimu mwenzangu yupo Babati Manyara.Nimejitoa kumpeleka mwanangu shule ya bweni kamtoa. NATAMANI KUJIUA ila naombeni mnisaidie. Namba za mwalimu ni ?0685457044.Anaitwa Happy Msuya.Shule ni Ngolei Primary School
Big up sana Mhe. Waziri, tusaidie huyu Mwanaume mwenzetu anataka kutuachia dunia hii imejawa na wanawake kede kedeeeNjoo sms 0765 345777 tafadhali copy tuma huu ujumbe huko. Ila kesho ndiyo nitasoma na kukupa afisa wa kukusikiliza. Shukrani
😀😃😃😃Hongera kwa kupaza sauti!
Wanaume wengi wanaonewa hadi makwenzi wanapigwa ila wanaona aibu kusema.
BUMIJA waziri kakujibu tayariNjoo sms 0765 345777 tafadhali copy tuma huu ujumbe huko. Ila kesho ndiyo nitasoma na kukupa afisa wa kukusikiliza. Shukrani
💐💐💐💐💐💐Njoo sms 0765 345777 tafadhali copy tuma huu ujumbe huko. Ila kesho ndiyo nitasoma na kukupa afisa wa kukusikiliza. Shukrani
Kuna haja gani kumtukana? Kwani kutoa ushauri bila kutusi au kibehi huwezi? Kwani kakuomba usome uzi wake? Punguza ujuaji. Mtu yuko katika wakati mgumu na ujue namna ya kubeba matatizo tunatofautianaWewe kiAzi sana ,jambo la msingi mwache unataka kujiua kwa starehe za wengine
Usiji dhuru mkuu. Pole sana kaka,Wasalamu.
Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule.
Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie.
.Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni mwanaume ninayenyanyaswa. Nimelipa ada kamtoa mtoto shule bila Ridhaa yangu.
Mkuu umenitag na huyo mtu ukimaanisha sisi ni watu wa kundi moja!!!Muimba SINGELI Na haszu nanyinyi hamna malalamiko?