Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

Pole mkuu..... unfortunately jamii bila kujijua hata kwenye kutunga sheria[hata tunazisimamia] tumeamini wanaume hawawezi kupitia haya matatizo.

Na wanawake wengi wameweza kutumia huu mwanya kuwa-manipulate wanaume au hata kuimanipulate jamii iamini wao ndio wahanga.
Naomba hili jukwaa liwe msaada kwangu wadau.Mpaka nakuja hapa nipo na shida wakuu nisaidieni.
 
Wasalamu.

Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule.

Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie.

.Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni mwanaume ninayenyanyaswa. Nimelipa ada kamtoa mtoto shule bila Ridhaa yangu.
Mwalimu wewe umekuwa wa kulialia na wanawake ? mbona enzi unafundisha Matipwili Sec haukuwa hivyo ? ukiona mwanamke anakusumbua achana nae !
 
Wasalamu.

Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule.

Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie.

.Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni mwanaume ninayenyanyaswa. Nimelipa ada kamtoa mtoto shule bila Ridhaa yangu.
Kwanza acha kujiita mwenye kipato duni Mtumishi, amua Leo unatamani ufanye nini ukuze hicho kipato

Lingine, kumbuka na ijue nguvu ya kuwa baba katika familia uliyoiunda

Kuna uwezekano umeteleza sehemu hasa unapojiita na kujiona mwenye kipato duni hapo ndipo unapoharibu...

Kuteleza siyo kuanguka, inuka kubali kuanza upya na itafute nguvu yako hasa ya kifedha atakuheshimu tu'
 
Hanipigi ila kamtoa mtoto shule kwa kudangqnywa.Nilipanga nimdhuru ila nimeleta na kuomba msaada hapa wadau.Naomba mumtagi waziri Gwajma. Mimi nimeamua kuleta malalamiko hapa mana naamini waziri yupo hapa na wadau wote mpo hapa

Umefanya vizuri kulileta hapa jukwaani pia nimefurahi kuona namba ya mhushimiwa waziri.
Naomba Sasa tuwe tuna mcheki moja Kwa moja mh waziri kwaajili ya taarifa na ushauri
Ningependa pia tusiwakatishe tamaa Wadau wanao hitaji msaada kwa kejeli au vijembe. Kila mmoja ana namna yake ya kuwasilisha ujumbe kwa hiyo tuheshimiane na tuvumiliane. Ni ushauri tu wadau
 
Kwanza acha kujiita mwenye kipato duni Mtumishi, amua Leo unatamani ufanye nini ukuze hicho kipato

Lingine, kumbuka na ijue nguvu ya kuwa baba katika familia uliyoiunda

Kuna uwezekano umeteleza sehemu hasa unapojiita na kuniona mwenye kipato duni hapo ndipo unapoharibu...

Kuteleza siyo kuanguka, inuka kubali kuanza upya na itafute nguvu yako hasa ya kifedha atakuheshimu tsu'
Mi nimechukulia hivyo kama mwalimu wa kijijini. Hayo mengine siyajui mkuu
 
Back
Top Bottom