Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

Hivi kweli ujiue kisa mwanamke? Hebu Wacha vituko. Ukijiua huyo mtoto si atabaki bila baba? Na ukujiua si ndiyo watapata uhuru zaidi? Cha kwanza hapo mpige huyo mwanamke chini hakufai kabisa huyo
 
Naomba jamii Forum iwe msaada kwangu.Huyu ni mwalimu mwenzangu yupo Babati Manyara.Nimejitoa kumpeleka mwanangu shule ya bweni kamtoa. NATAMANI KUJIUA ila naombeni mnisaidie.Shule ni Ngolei Primary School
Hivi kumbe maamuzi ya kuachana na mwanamke kumbe ni process ngumu sana?
 
Mwanaume tena mwalimu unaetufundishia watoto wetu malezi ujiue kisa mwanamke? Ebu acha utani basi.
 
Umetudhalilisha sana wanaume wenzako.Yaani unashindwa kumdhibiti na kumwadabisha huyo mkeo hadi unakuja kulialia huku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…