Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

Hanipigi ila kamtoa mtoto shule kwa kudangqnywa.Nilipanga nimdhuru ila nimeleta na kuomba msaada hapa wadau.Naomba mumtagi waziri Gwajma. Mimi nimeamua kuleta malalamiko hapa mana naamini waziri yupo hapa na wadau wote mpo hapa
Una uhakika mtoto ni wako mkuu. Na mtoto kutolewa shule ndo unataka kujiua?


Ulioa kabla ya kukomaa kiakili mkuu
 
Pole sana, usiweke mawazo ya kujiuwa. Suluhisho lipo, yatatatulika tu. Mwenyezi Mungu, akuguse ukawe na amani na Imani mpya.
 
Usiji dhuru mkuu. Pole sana kaka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…