Mimi ni nani?

Mimi ni nani?

Aunty_

Member
Joined
Nov 15, 2023
Posts
9
Reaction score
13
Habari JF members..

Nina issue huwa inanisumbua akili kidogo kuhusu Mimi mwenyewe.

Mimi Huwa nina uwezo wa kuhisi kifo kwa mtu nikimuangalia. Yaani kuna hali fulan inaniambia huyu mtu hana muda mrefu atakufa na hii hali huwa inatokea mara chache sana.

Kitu kingine, ni ndoto zangu Huwa naota kitu kinakuja tokea kweli ila sio ndoto zote ni ndoto chache sana.

Au nikifanyiwa kitu kibaya na hicho kitu kikaniumiza sana kuliko kawaida basi nikiongea neno lolote kwa yule aliyenifanyia ubaya basi lazima litamkuta jambo ambalo si zuri.

Je, hii Hali ni ya kawaida au?
 
Ni kawaida wengi tu wako na hizo divine power sema huwa hawazisemi ni kama vile unaona mtu anakwambia alijua safari haitakuwa nzuri n.k
Nashindwa namna ya kuweka lakini binadam (wote)ni kiumbe mmoja complicated sana ana umungu flani hivi wa kuweza kuumba au kuharibu tena kwa Kutumia akili TU na ndio haya watu huongezea na maarifa kidogo Kisha wanapiga pesa sana
 
Habari JF members..

Nina issue huwa inanisumbua akili kidogo kuhusu Mimi mwenyewe.

Mimi Huwa nina uwezo wa kuhisi kifo kwa mtu nikimuangalia. Yaani kuna hali fulan inaniambia huyu mtu hana muda mrefu atakufa na hii hali huwa inatokea mara chache sana.

Kitu kingine, ni ndoto zangu Huwa naota kitu kinakuja tokea kweli ila sio ndoto zote ni ndoto chache sana.

Au nikifanyiwa kitu kibaya na hicho kitu kikaniumiza sana kuliko kawaida basi nikiongea neno lolote kwa yule aliyenifanyia ubaya basi lazima litamkuta jambo ambalo si zuri.

Je, hii Hali ni ya kawaida au?
Kuna huyu mbunge aliyeleta wazo la tozo kwenye simu. Najua alikuudhi. Hebu sema neno baya limtokee.
 
Habari JF members..

Nina issue huwa inanisumbua akili kidogo kuhusu Mimi mwenyewe.

Mimi Huwa nina uwezo wa kuhisi kifo kwa mtu nikimuangalia. Yaani kuna hali fulan inaniambia huyu mtu hana muda mrefu atakufa na hii hali huwa inatokea mara chache sana.

Kitu kingine, ni ndoto zangu Huwa naota kitu kinakuja tokea kweli ila sio ndoto zote ni ndoto chache sana.

Au nikifanyiwa kitu kibaya na hicho kitu kikaniumiza sana kuliko kawaida basi nikiongea neno lolote kwa yule aliyenifanyia ubaya basi lazima litamkuta jambo ambalo si zuri.

Je, hii Hali ni ya kawaida au?
Ukifungua kanisa utapiga sana hela Mkuu
 
Ebu watag watu unaohisi watavuta humu
 
Back
Top Bottom