Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
- Thread starter
-
- #41
No, naongelea u smart wa kimavazi(kupangilia na kupiga pasi inapohitajika, kuvaa kuendana na usasa n.k), mimi ni tofauti kabisa na mambo hayo. Nguo zangu sinyooshagi, navaa and i dont care. Kifupi navaa sijui niite kishamba au nini?[emoji23][emoji23] ila ndio hivyo najiamini na sijali.Mkuu kuna kuwa kawaida tu na kuwa mtanashati wewe unazungumzia
Kuoga kila siku
Duuuh unaniongelea mimi. Nipo hivyo! Nikiamua kuongea naongeaga sana tu, ila ni mara chache.Upole ni ile hali ya mtu kutokua mripokaji au mtu wa kkudandia mambo sasa hiyo kitu wanaipenda na wanamini mwanaume mpole yupo romantic
Ndio maana wanakuelewa. Hawapendi mtu much known, mtu wa kila jambo analiongelea wanaona hafaiDuuuh unaniongelea mimi. Nipo hivyo! Nikiamua kuongea naongeaga sana tu, ila ni mara chache.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na u rough huu mkuu? Huwa nacheka mno nikiwa peke yanguNdio maana wanakuelewa. Hawapendi mtu much known, mtu wa kila jambo analiongelea wanaona hafai
Mheshimu Rais kijana. Royal Tour ni batili kivipi?Uzi bila picha hatukuelewa..
Narudia uzi ni batili kama royal tour tu
Au sio... Huwa nacheka sana, sioni kama nawavutiaKADI YA MWALIKO
Ndio ninachokiona kwenye huu uzi... endelea Mkuu kuwachakata..
Bila Farasi kidume hauwezi kuitwa Apollo - FidQ
Hongera ya nini? Kwa nini pole?Mzee mwenzangu polee na hongeraa.
Usishangae thats how i am. Kipi kinakushangaza?Mmmmh
Sasa Kama hujawahi toka na demu wa hapo karibu? ulionaje hizo chat zao...wamejuana vipi Hadi wakuongelee?Huenda, ila sijawahi toka na demu wa hapo karibu. Hili ni hata kwa demu tusiyejuana, mara nyingi huvutiwa mno na mimi, ila many times nakuwa sina time nao.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Elewa mada! Kuona chatting zao haimaanishi nilitoka nao.Sasa Kama hujawahi toka na demu wa hapo karibu? ulionaje hizo chat zao...wamejuana vipi Hadi wakuongelee?
Hahahah kunuka jasho kwa mwanaume ni kawaida na ndiyo uanaume. Nanuka kiasi chake kwa sababu sina kawaida ya kutumia deodorant. I wonder wananipendea nini[emoji23]Kwa hizo sifa ulizozitaja hapo juu no wonder wanakupenda as long as hunuki kikwapa sifa zote Ni njema kabisa..
Mimi ninajiheshimu na naheshimu MNO wake za watu. Tena saaana. Sijawahi na naomba nisiwahi kutoka na hata mke mmoja wa mtu. Nina hekima na busara, ndivyo nilivyolelewa kwa kweli! Kwangu utu daima na kiburi ni mwiko!Haijalishi kama ni chai au la! Ila mtu hunena kilichopo moyoni mwake. NB; Kazana unachokitafta soon utakipata; Wake zawatu marinda yatasepa. Masisita duu unakarbia kuunganishwa na grid ya taifa. Nao waendelee kukusifia tu.