Mimi ni Simba ila mashabiki wenzangu ni mambumbumbu ila Mimi nimegoma kuwa mbumbumbu

Sawa tutangazieni viingilio tujue vip ticket ni kiasi gani tukate kabisa tukawakande
Kampeni ya Yanga Kwa Sasa ni kusafisha pale TFF nyie mbumbumbu tutawafunga Kwa tarehe tutakayoamua sisi

Tulia acha kiherehere
Kufungwa kukosa pale pale, Wacha kwanza tuwatoe ofsini wahuni wa TFF
 
Kampeni ya Yanga Kwa Sasa ni kusafisha pale TFF nyie mbumbumbu tutawafunga Kwa tarehe tutakayoamua sisi

Tulia acha kiherehere
Kufungwa kukosa pale pale, Wacha kwanza tuwatoe ofsini wahuni wa TFF
Hahaaaaaa,eti wahuni wakati viongozi wenu ndio wahuni na hamjasanuka,wanatumia umbumbumbu wenu kujinufaisha😅😅😅
 
Bora wewe umekataa kuwa mbumbumbu ila unatakiwa udumishe hali ya kukataa umbumbumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…