secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mkuu unaonekana umeanza kushabikia mpira leo saa kumi alasiri.Kwa kinachoendelea kwenye ligi ya Tanzania ni aibu kubwa sana uongozi uko wapi serious
Moja ya mambo ntakayofanya ni kuhakikisha huu ujinga wa leo hautakuwepo ntafanya yafuatayo
Wale wanaotumia rushwa kwenye michezo hawataonewa huruma
- Viongozi wa vilabu na mpira watachukuliwa hatua Kali sana kama wakifanya ujinga sasahivi wanachekewa
- Refa yeyote atakaye panga matokeo baada ya mechi kuisha atakuwa anasubiriwa na defender nje ya uwanja
- Kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa billion 2 kama sehemu ya matumizi ili kuondoa matumizi ya rushwa hii fedha itatolewa na serikali direct
- Mshindi wa ligi atapewa sio chini ya billion 50 na wa mwisho atapewa billion 10 na hii fedha itatolewa na serikali direct
- Viwanja vya michezo vitaboreshwa mfano kila mkoa utakua na world-class stadium wenye capacity ya zaidi watu elfu 20
- Kutakua na world-class training ground
- Wachambuzi wa mpira kwenye radio na tv lazima wawe wamechezea timu ya ligi kuu sio chini ya misimu mitano
Haya madudu hayawezi endelea kwa hiyo wewe unataka haya madudu yaendeleeMkuu unaonekana umeanza kushabikia mpira leo saa kumi alasiri.
Hebu tuliza munkari na jazba then kunywa maji ndipo u-post thread.
Inawezekana vizuri tuEti mshindi wa kwanza utampa bilioni 50. Unaijua bilioni 50 wewe?
Anyway, ubaya ubwelaaaa.
Wewe unashabikia dhuluma na kamwe dhuluma haijawah shindaga haki mim na wewe hatuwezi elewanaNani aliewatuma mashujaa kupoteza muda kipuuzi na kukosa nidhamu
Hatutaki kulea UHUNI kama wa mashujaa halafu sababu wanacheza na Simba na wanahongwa na timu inyoongoza ligi kua iikamie isipate matokeo
Unaakili ndogo kwa hiyo sio kosa lakoponti tatu muhimu hayo mengine wachie wenyewe
Ujinga sio sifa
Hiyo umesema wewe na hiyo ni dua la kuku halimfikii mweweNini uraisi uongozi wa soko mjinga huupati.
Sio kosa lako unaupeo mdogo alafu wewe ni mpiga debe sio kosa lakoTutolee upuuzi
View attachment 3323044
mmeumia sana....ila mlianza wenyewe...Sio kosa lako unaupeo mdogo alafu wewe ni mpiga debe sio kosa lako
Watu tunapambania kuondoa udhalimu kwenye mpira wewe unaleta upiga debe
Wewe ndio mjingaUjinga sio sifa
Endelea kushabikia ujingaWewe ndio mjinga
Sio kosa lakommeumia sana....ila mlianza wenyewe...
...haya Rais ajaye....