Mimi nikiwa Rais wa Tanzania huu ujinga wa mechi ya Simba vs Mashujaa kamwe hautakuwepo

Wajinga nyie kutwa mzima ni mada za Kingese za Yanga na Simba? Wajanja wanagawana nchi nyie mmekalia Yanga na Simba, huu ujinga mtauacha lini?
 
Na wajinga kama nyie hakuna kingine mnajua katika hili Taifa, wewe ni kama nguruwe Dume, ukipatiwa muwa anaweza hata ***** bila kujigeuza, sasa na wewe ni kama Nguruwe Dume tu alie pewa muwa
 
Taofa limejaaa wajinfa kutwa nzima ni Yanga na Simba?
Kutoa namna ya kuusaidia mpira ndo unauuita ujinga
Kwa hiyo unaona sawa ligi kuendeshwa inavyoendeshwa sasa au unaona ni ujinga kupropose namna ya kuboresha miundombinu ya mpira unasafari ndefu sana kifikra
 
Pia usisahau kuzuia mtu mmoja kumiliki timu 8
 
Pia usisahau kuzuia mtu mmoja kumiliki timu 8
Timu zikiwa zinapewa billion 2 kabla ya ligi kuanza na zawadi kama nilivyoainisha huyo mtu wa kudhamini timu 8 atatokea wapi

Huyo mtu anadhamini timu nyingi sababu timu zina-ukata wa fedha mfano kagera sugar wanasafiri na coaster wakienda kucheza mechi za away
 
Kutoa namna ya kuusaidia mpira ndo unauuita ujinga
Kwa hiyo unaona sawa ligi kuendeshwa inavyoendeshwa sasa au unaona ni ujinga kupropose namna ya kuboresha miundombinu ya mpira unasafari ndefu sana kifikra
ujinga huu, endeleeni na huu ujinga wenu
 
Kuna rais wa TFF, chini yake ana vyombo hivyo. Tofauti na hapo uta trigger article kutoka fifa ya kufungia nchi kwenye soccer sababu rais wa nchi anaingilia which ni kinyume na sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…