Mimi nikiwa Rais wa Tanzania huu ujinga wa mechi ya Simba vs Mashujaa kamwe hautakuwepo

Labda rais wa familia
 
Sasa peleka CAS to be VERIFIED
 
Kwenye miundombinu inaruhusiwa ila hairuhusiwi kuingilia maamuzi yoyote ya shirikisho la soka.
Mwaka 2017 malinzi aliwekwa ndani wakati wa uchaguzi wa tff unadhani haukua mkono wa serikali

Kama unadhani serikali haingilii mpira pole sana

Yaani serikali haitakiwi kuingilia mpira direct ila indirect wanaingilia kama kawaida
 
Kiongozi wa mpira lazima afuate sheria za nchi kwa mfano masuala ya rushwa yakitokea kwenye taasisi za kisoka lazima serikali iingilie kati lakini masuala ya uwanjani serikali ikiyaingilia basi FIFA hufanya yao.

Malinzi na akina Evance Aveva na Godfrey Nyange kaburu walikuwa na tuhuma za masuala ya utakatishaji wa pesa ndiyo maana walisukumwa ndani.
 
Hakukua na kesi ya maaan zaidi ya fitna za mpira
Mpira wa afrika una rushwa nyingi sana kama ulikuwa hujui
 
Wewe ni Bata
 
Iko ndo umeona, yani uchaguliwe na raia ukashughulike tu na Simba na Yanga yaani moyo wako woote uko uwanjani siyo😁
 
Iko ndo umeona, yani uchaguliwe na raia ukashughulike tu na Simba na Yanga yaani moyo wako woote uko uwanjani siyo😁
Hivyo Viwanja vya kila mkoa ni vya simba na yanga,
Billion 2 kwa kila timu ni za simba na yanga
 
Utafanya hayo huku watoto wakiendelea kukaa chini shuleni na wajawazito wakishare vitanda.
Vipaumbele vya viongozi wa tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…