Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
Hahahaha nilitaka kuandika hiyo comment ila nimeghairi baada ya kuona comment yakoNgoja waje wale jamaa ambao kitu pekee wako proud nacho ni kuwahi kumaliza shule kabla yako.
Utasikia kumbe tunabishana na watoto humu.
mojaView attachment 3093104
Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.
Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
Ni kweli lakiniππ kubishana na madogo inaleta ukakasi kidgoπHahahaha nilitaka kuandika hiyo comment ila nimeghairi baada ya kuona comment yako
Ulibakwa au ilikuwaje ?Mimi nilifanya 2015 na mwaka huohuo nilipata mtoto wa kwanza
Msitufanyie hivyo wazee wetu.Na sisi ni bin-adams.Ni kweli lakiniππ kubishana na madogo inaleta ukakasi kidgoπ
πππ umejiunga jf huo mwaka wa dogo anafanya mtihani ,wewe ni babu mwenzangu tu mkuu.Msitufanyie hivyo wazee wetu.Na sisi ni bin-adams.
Sawa mkuu, lakini bado hujasema ulimaliza la saba mwaka gani πWewe andika tu usijibanebane mwishowe ukapasuka, mbona mimi ni mzee ila kwenye mada za ovyo pia nipoπ
Nimerithi tu akaunti mkuu.Naapa.Ilikua ya mjomba.Natarajia utanirushia kwenye woziapu yangu past-papers niendelee kusubiri mtihani wa LY!πππ umejiunga jf huo mwaka wa dogo anafanya mtihani ,wewe ni babu mwenzangu tu mkuu.
ππNimerithi tu akaunti mkuu.Naapa.Ilikua ya mjomba.Natarajia utanirushia kwenye woziapu yangu past-papers niendelee kusubiri mtihani wa LY!
Na haturingi.Miaka kumi nyuma yako ndugu yangu, yaani 2003!
Hakika siku hazisimami.
ππsasa mwanangu wa kwanza mwakani atafanya mtihani wa kidato cha nneπSawa mkuu, lakini bado hujasema ulimaliza la saba mwaka gani π
Na weweSema usijibane baneπ
Mwongoππ1978
Uongo huoπ€£π€£π€£π€£ππsasa mwanangu wa kwanza mwakani atafanya mtihani wa kidato cha nneπ
Vitoto ni vingi sana humuNgoja waje wale jamaa ambao kitu pekee wako proud nacho ni kuwahi kumaliza shule kabla yako.
Utasikia kumbe tunabishana na watoto humu.
Ukweli ni upiMwongoππ
Ila tumezeeka jamaa yangu.Nilikua naongea na mama Bhoke tunajadiliana namna ya kushare ugoro baada ya miaka kumi,alicheka sana.πππππππ
ππ mimi bado nakula ujana hata iwejeIla tumezeeka jamaa yangu.Nilikua naongea na mama Bhoke tunajadiliana namna ya kushare ugoro baada ya miaka kumi,alicheka sana.πππππ
Kama ni kweli basi upo mbali mkuu, heshima kwako πππsasa mwanangu wa kwanza mwakani atafanya mtihani wa kidato cha nneπ