Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
Mimi nilifanya 2015 na mwaka huohuo nilipata mtoto wa kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha nilitaka kuandika hiyo comment ila nimeghairi baada ya kuona comment yakoNgoja waje wale jamaa ambao kitu pekee wako proud nacho ni kuwahi kumaliza shule kabla yako.
Utasikia kumbe tunabishana na watoto humu.
mojaView attachment 3093104
Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.
Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
Ni kweli lakini😁😁 kubishana na madogo inaleta ukakasi kidgo😆Hahahaha nilitaka kuandika hiyo comment ila nimeghairi baada ya kuona comment yako
Ulibakwa au ilikuwaje ?Mimi nilifanya 2015 na mwaka huohuo nilipata mtoto wa kwanza
Msitufanyie hivyo wazee wetu.Na sisi ni bin-adams.Ni kweli lakini😁😁 kubishana na madogo inaleta ukakasi kidgo😆
😁😁😁 umejiunga jf huo mwaka wa dogo anafanya mtihani ,wewe ni babu mwenzangu tu mkuu.Msitufanyie hivyo wazee wetu.Na sisi ni bin-adams.
Sawa mkuu, lakini bado hujasema ulimaliza la saba mwaka gani 😁Wewe andika tu usijibanebane mwishowe ukapasuka, mbona mimi ni mzee ila kwenye mada za ovyo pia nipo😁
Nimerithi tu akaunti mkuu.Naapa.Ilikua ya mjomba.Natarajia utanirushia kwenye woziapu yangu past-papers niendelee kusubiri mtihani wa LY!😁😁😁 umejiunga jf huo mwaka wa dogo anafanya mtihani ,wewe ni babu mwenzangu tu mkuu.
😆😆Nimerithi tu akaunti mkuu.Naapa.Ilikua ya mjomba.Natarajia utanirushia kwenye woziapu yangu past-papers niendelee kusubiri mtihani wa LY!
Na haturingi.Miaka kumi nyuma yako ndugu yangu, yaani 2003!
Hakika siku hazisimami.
😆😆sasa mwanangu wa kwanza mwakani atafanya mtihani wa kidato cha nne😆Sawa mkuu, lakini bado hujasema ulimaliza la saba mwaka gani 😁
Na weweSema usijibane bane😁
Mwongo😆😆1978
Uongo huo🤣🤣🤣🤣😆😆sasa mwanangu wa kwanza mwakani atafanya mtihani wa kidato cha nne😆
Vitoto ni vingi sana humuNgoja waje wale jamaa ambao kitu pekee wako proud nacho ni kuwahi kumaliza shule kabla yako.
Utasikia kumbe tunabishana na watoto humu.
Ukweli ni upiMwongo😆😆
Ila tumezeeka jamaa yangu.Nilikua naongea na mama Bhoke tunajadiliana namna ya kushare ugoro baada ya miaka kumi,alicheka sana.😂😂😂😂😂
😁😁 mimi bado nakula ujana hata iwejeIla tumezeeka jamaa yangu.Nilikua naongea na mama Bhoke tunajadiliana namna ya kushare ugoro baada ya miaka kumi,alicheka sana.😂😂😂😂😂
Kama ni kweli basi upo mbali mkuu, heshima kwako 🙌😆😆sasa mwanangu wa kwanza mwakani atafanya mtihani wa kidato cha nne😆