Mimi nilifanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2013, wewe je?

Kama kumbukumbu zangu hazipo sawa ni sahihishwe , mbona maarifa ya jamii lilikuwepo kabla ya 2001
Darasa la waliomaliza 2004 hawakusoma Maarifa ya Jamii wakiwa darasa la tatu ila walisoma masomo mengine mengi mengi kwa miezi kadhaa yakafutwa.
Maana hiyo waliomaliza 2005 hawakusoma uraia, Sayansi kimu, Historia, Geografia, na Kilimo Kama masomo yanayojitegemea.
Jaribu kukumbuka vizuri labda Kama unachanganya na stadi za kazi.
 
Mkuu hii 👆 shule ndio uliyo maliza , Inaitwaje ?, itaje TU maana hakuna atayekufahamu humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…