Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Basi pole sana.Sijajaliwa kuamini kirahisi namna hio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi pole sana.Sijajaliwa kuamini kirahisi namna hio.
Umeolewa?2013 nilikuwa na mimba ya first born wangu....
2013 tusiongee kweli?Ngoja waje wale jamaa ambao kitu pekee wako proud nacho ni kuwahi kumaliza shule kabla yako.
Utasikia kumbe tunabishana na watoto humu.
Tulishade majibu mwaka huo, tulitumia penseli za HBAiseee
Umeshade majibu mwaka huo au bado kilikuwa na
Swali
Kazi
Jibu
Darasa la waliomaliza 2004 hawakusoma Maarifa ya Jamii wakiwa darasa la tatu ila walisoma masomo mengine mengi mengi kwa miezi kadhaa yakafutwa.Kama kumbukumbu zangu hazipo sawa ni sahihishwe , mbona maarifa ya jamii lilikuwepo kabla ya 2001
Wewe tangia lini ukaogopa mtu🤣NingekuPM ila naogopa 😂😂
Hivi kumbe kusoma na kuandika wanafundisha kuanzia la sabaUlijifunza wapi kusoma na kuandika?
Lamommy na gili hawa ndio nimeambiwa ni wewe sasa inabidi useme ukweli
Mkuu hii 👆 shule ndio uliyo maliza , Inaitwaje ?, itaje TU maana hakuna atayekufahamu humuView attachment 3093104
Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.
Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
Usijali...vipi unataka kuniwowa?Umeolewa?
Forum four ❌Lakini chamsingi ni ulimaliza forum four japo kwa mbinde