Mimi nilifanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2013, wewe je?

Suala sio kwamba ulifanya au la, suali muhimu ni kwamba sasa uko wapi?
Mimi nilifanya pia mtihani mwaka 2013 Leo Nina miaka 24 Niko nagombania hela za vyumba vya guest na baba mzazi umri wake miaka 68๐Ÿ˜‚tunawahiana atakae wahi kuchukua hela inakua yake mfukoni
 
Sasa sisi tuliofanya mtihani wa darasa la saba November 1972, tunaruhusiwa kujinadi pia? ๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ˜ฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ