Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #21
Elimu haina mwishoBado hujamaliza shule ni miaka 11 tangu umalize shule ya msingi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu haina mwishoBado hujamaliza shule ni miaka 11 tangu umalize shule ya msingi?
Uko level gani sasa?Elimu haina mwisho
Vitabu nasoma sana, vya aina na mafunzo mbalimbaliSasa mjitahidi msome some hata vitabu mpate elimu.
Mungu atupe uzima siku tufarijike pamojaNimelinote jina lako katika diary yangu ,hakika nakuambia Kuna siku utafurahia kujuana na mimi
Ni vyema kubadilishana mawazo na watu wa umri tofautiDuh, kumbe huwa tunapigizana kelele na watoto zetu humu ndani.
Mkuu mimi sijakataa ndoaNdio maana kataa ndoa wapo wengi humu kumbe hata maziwa ya mama zao bado yana nukia vinywani mwao
Mimi 1994
Sawa kabisa. At least wewe unajielewa. Kuna nguchiro nyingine humu zinaweza kuvimba na kutukana ukadhani ni njemba ya makamo, kumbe kitoto ambacho unakizaa hata mara 2.Ni vyema kubadilishana mawazo na watu wa umri tofauti
Kwenye discipline gani?Bach
natambua Jf ina watu wengi wenye umri mkubwa, ni vyema kuzungumza na kuandika kwa kuzingatia hilo.Sawa kabisa. At least wewe unajielewa. Kuna nguchiro nyingine humu zinaweza kuvimba na kutukana ukadhani ni njemba ya makamo, kumbe kitoto ambacho unakizaa hata mara 2.
wewe nilikubwa mno..😂1981
1991 SEPTEMBERView attachment 3093104
Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.
Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
mambo mrembo😉😉1981
Vyema sanaMimi nilifanya 2005
Basi usiacheVitabu nasoma sana, vya aina na mafunzo mbalimbali
2001View attachment 3093104