Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #281
Vyema sana Brother1994
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyema sana Brother1994
Lakini chamsingi ni ulimaliza forum four japo kwa mbinde2000 nikaja kumaliza four 2007 kwa tabuuu sio kwa kurudia kule mitihani ( Kurisiti)Akili zilikuwa nzito kama futari ya magimbi iliyopoa.
Ni kweli mtemi ila ukiniomba cheti cha four nakutolea bundle la vyeti utaunganisha wewe mpaka uzipate C tatu 😄😄😄Lakini chamsingi ni ulimaliza forum four japo kwa mbinde
Pia inaonekana wazazi hawakukata tamaa mpaka kuhakikisha unavuka hiyo stageNi kweli mtemi ila ukiniomba cheti cha four nakutolea bundle la vyeti utaunganisha wewe mpaka uzipate C tatu 😄😄😄
Na wazee wa hovyo pia wapoUmejiwahi, we utakuwa umefanya 2019. Inasikitisha kumbe ndio maana JF ya sasa hakuna hoja za maana kwani wengi ni watoto.
Inasikitisha
Ndio ndio.Wacha bwana!
Nilifanya mtihani Mwaka 2019.View attachment 3093104
Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.
Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
Basi hongera aisee! Japo siamini moja kwa mojaNdio ndio.
Amini tu mdogo wangu😊Basi hongera aisee! Japo siamini moja kwa moja
Amina sanaAmen Amen...ana 32yrs now..nna wajukuu 8
AiseeWakati huo mimi nilikuwa na miaka miwili, hakika siku hazisimami.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nafanya mambo yangu
🤣🤣🤣🤣Wazee wa JF miyeyusho sana. Saivi unaandika hivi baadae nakukuta kwenye uzi wa Kula tunda kimasihara, unatoa ushuhuda.
Darasa la Majaribio hili.Mimi nilifanya 2005
Me ni 2010Bado ni generation moja broh, we keep moving.
😅😅😅😅Jinga wewe hawajauliza mwaka wa kuzaliwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂