Mimi nilifanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2013, wewe je?

Mimi nilifanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2013, wewe je?

Ila comments za humu, zinachekesha hatariiiiii. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂 Mwafula lazima asutwe kwa maua pambe..!
Anacheza na majike shupaza?!! Awwwwhee!!

Jana sikushinda kkoo, nilikuwa kwenye kikao kimoja cha wakinga huko Mwanagati 🤣
🤣🤣🤣Mwafula katulia kama hayupo

Naona sasa wakinga mnaendeleza sifa zenu mnataka kuinunua na mwanagati yotee tena mweee
 
Back
Top Bottom