Mimi nimeangalia hii clip nasikitika Sana. Tanzania tuna Safari ndefu

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Mimi nimeangalia hii clip nasikitika sana. Tanzania tuna Safari ndefu.

1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo sasa hivi

2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga wachache.

3. Amin usiamini huyu anawakilisha akili 90% za wabunge na viongozi wote

4. Tuendeeni kuzubaa tutapigwa na uso na akina mwigulu Hadi maji tutaita mma.

1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo Sasa hivi
2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga wachache.
.

This is very obvious.

Tunatawaliwa na watu waliokuwa na ambition za kushika madaraka makubwa ya nchi..

Tamanio lao kuu ni kuitwa Mheshimiwa na siyo kuisaidia nchi kwa namna yeyote ile. Ndiyo maana wanapitisha maamuzi ya ajabu ajabu tu..
 
Mimi nimeangalia hii clip nasikitika sana. Tanzania tuna Safari ndefu.

1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo sasa hivi

2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga wachache.

3. Amin usiamini huyu anawakilisha akili 90% za wabunge na viongozi wote

4. Tuendeeni kuzubaa tutapigwa na uso na akina mwigulu Hadi maji tutaita mma.

View attachment 2333113
Eti ni mbunge wakuchaguliwa!
 
Hivi hatuwezi kuwashawishi wazungu wakarudi tena kututawala? nawakirudi tusiwaite wakoloni tena!
Kama hivi ndivyo unavyofikiri basi huna tofauti na ng'ombe! Yaani huwezi kujitawala Hadi utawaliwe? Badili thinking attitude rafiki uepuke umarioo!
 
Mwaafrika utawalae wa kistaarabu hauwezi, sababu Wana ROHO mbaya, huu waumiza wananchi huku wanacheka
 
Mwaafrika utawalae wa kistaarabu hauwezi,sababu Wana ROHO mbaya,huuwaumiza wananchi huku wanacheka
Kama nawe una mawazo ya kutawaliwa badala ya kuongozwa Tena Kwa ridhaa Yako kafanye Toba ili huo utumwa unaotembea kwenye damu Yako ukutoke!
Yaani Karne hii unawaza kutawaliwa badala ya kuongozwa Kwa ridhaa Yako na mtu uliyemridhia? Elimu bado siyo mkombozi kwenu Bora msingesoma kabisa mfanane na ng'ombe! Pathetic!
 
Mimi nimeangalia hii clip nasikitika sana. Tanzania tuna Safari ndefu.

1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo sasa hivi

2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga wachache.

3. Amin usiamini huyu anawakilisha akili 90% za wabunge na viongozi wote

4. Tuendeeni kuzubaa tutapigwa na uso na akina mwigulu Hadi maji tutaita mma.

View attachment 2333113
Sehemu ya pili ya clip yuko sahihi ila sehemu ya kwanza alikuwa anazindua Sana huyu Babu.
 
Mimi nimeangalia hii clip nasikitika sana. Tanzania tuna Safari ndefu.

1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo sasa hivi

2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga wachache.

3. Amin usiamini huyu anawakilisha akili 90% za wabunge na viongozi wote

4. Tuendeeni kuzubaa tutapigwa na uso na akina mwigulu Hadi maji tutaita mma.

View attachment 2333113
Jihadi
 
Huyu ndio huyo huyo mbunge anayetoa maoni yake bungeni? Basi kweli ni halali yako kusikitika. Laiti kama anayesifiwa sasa hivi hajafunguka macho kwamba wanaomsifa sasa ndio watakaomtosa ajitathimini, kwa maana hii ni sura ya kinyonga kabisa kwa mwonekano na vitendo.......................Tanzania has a long way to achieve the true transformation in all cycles of discipline.
 
Back
Top Bottom