Mimi nimeangalia hii clip nasikitika Sana. Tanzania tuna Safari ndefu

Mimi nimeangalia hii clip nasikitika sana. Tanzania tuna Safari ndefu.

1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo sasa hivi

2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga wachache.

3. Amin usiamini huyu anawakilisha akili 90% za wabunge na viongozi wote

4. Tuendeeni kuzubaa tutapigwa na uso na akina mwigulu Hadi maji tutaita mma.

View attachment 2333113
Alitupiga za uso Magufuli leo yuko wapi

Mwigulu tunamzoom tu bakora ya Mungu ikimshukia MAJI atayaita MAVI

Nipo nimekaa pale [emoji117]
 
Mimi nimeangalia hii clip nasikitika sana. Tanzania tuna Safari ndefu.

1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo sasa hivi

2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga wachache.

3. Amin usiamini huyu anawakilisha akili 90% za wabunge na viongozi wote

4. Tuendeeni kuzubaa tutapigwa na uso na akina mwigulu Hadi maji tutaita mma.

View attachment 2333113
Mkuu si umemskia anasema zimemwangwa mahela😂😂😂itakua kapata mgao😂
 
Mimi nimeangalia hii clip nasikitika sana. Tanzania tuna Safari ndefu.

1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo sasa hivi

2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga wachache.

3. Amin usiamini huyu anawakilisha akili 90% za wabunge na viongozi wote

4. Tuendeeni kuzubaa tutapigwa na uso na akina mwigulu Hadi maji tutaita mma.

View attachment 2333113
Na anaapia kwa Mungu bila uoga.... na jumapili anaenda ibada.

Tuna safari ndefu
 
Mengine muwe mnayaelzea humu, bando zenyewe Tia maji tia maji
 
Mimi nimeangalia hii clip nasikitika sana. Tanzania tuna Safari ndefu.

1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo sasa hivi

2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga wachache.

3. Amin usiamini huyu anawakilisha akili 90% za wabunge na viongozi wote

4. Tuendeeni kuzubaa tutapigwa na uso na akina mwigulu Hadi maji tutaita mma.

View attachment 2333113
Rais Samia Suluhu anafanya maendeleo mengi sana tukiweka chuki pembeni
 
Nchi hii ina matatizo makubwa mno !! yaani hata pa kuanzia unashindwa !! Watu kama hawa leo ndiyo wamejaa bungeni kupitisha kila kitu kinacholetwa na Serikali ya CCM.
 
Bila shaka ana familia inamuangalia na kuyaona matendo ya baba yao, ingekuwa ni watoto wa zama za Lenin au Mao wangegoma kulipiwa ada au kuhudumiwa na baba huyu.
 
Hiyo ndio ccm na upinzani watu wananunuliwa na wengine kusafishwa, ni hatari sana hakuna penye matumaini.
 
Back
Top Bottom