The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo Sasa hivi
2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga wachache.
.
Mtu kama huyo hatakiwi kuwa kiongozi. Mi mganga njaa Tu.Haya mleta mada tuambie nini kifanyike 🤔
Eti ni mbunge wakuchaguliwa!Mimi nimeangalia hii clip nasikitika sana. Tanzania tuna Safari ndefu.
1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo sasa hivi
2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga wachache.
3. Amin usiamini huyu anawakilisha akili 90% za wabunge na viongozi wote
4. Tuendeeni kuzubaa tutapigwa na uso na akina mwigulu Hadi maji tutaita mma.
View attachment 2333113
Kama hivi ndivyo unavyofikiri basi huna tofauti na ng'ombe! Yaani huwezi kujitawala Hadi utawaliwe? Badili thinking attitude rafiki uepuke umarioo!Hivi hatuwezi kuwashawishi wazungu wakarudi tena kututawala? nawakirudi tusiwaite wakoloni tena!
Mwaafrika utawalae wa kistaarabu hauwezi, sababu Wana ROHO mbaya, huu waumiza wananchi huku wanachekaKama hivi ndivyo unavyofikiri basi huna tofauti na ng'ombe! Yaani huwezi kujitawala Hadi utawaliwe? Badili thinking attitude rafiki uepuke umarioo!
Kama nawe una mawazo ya kutawaliwa badala ya kuongozwa Tena Kwa ridhaa Yako kafanye Toba ili huo utumwa unaotembea kwenye damu Yako ukutoke!Mwaafrika utawalae wa kistaarabu hauwezi,sababu Wana ROHO mbaya,huuwaumiza wananchi huku wanacheka
Sehemu ya pili ya clip yuko sahihi ila sehemu ya kwanza alikuwa anazindua Sana huyu Babu.Mimi nimeangalia hii clip nasikitika sana. Tanzania tuna Safari ndefu.
1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo sasa hivi
2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga wachache.
3. Amin usiamini huyu anawakilisha akili 90% za wabunge na viongozi wote
4. Tuendeeni kuzubaa tutapigwa na uso na akina mwigulu Hadi maji tutaita mma.
View attachment 2333113
JihadiMimi nimeangalia hii clip nasikitika sana. Tanzania tuna Safari ndefu.
1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo sasa hivi
2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga wachache.
3. Amin usiamini huyu anawakilisha akili 90% za wabunge na viongozi wote
4. Tuendeeni kuzubaa tutapigwa na uso na akina mwigulu Hadi maji tutaita mma.
View attachment 2333113
Huyu ndio huyo huyo mbunge anayetoa maoni yake bungeni? Basi kweli ni halali yako kusikitika. Laiti kama anayesifiwa sasa hivi hajafunguka macho kwamba wanaomsifa sasa ndio watakaomtosa ajitathimini, kwa maana hii ni sura ya kinyonga kabisa kwa mwonekano na vitendo.......................Tanzania has a long way to achieve the true transformation in all cycles of discipline.Mimi nimeangalia hii clip nasikitika sana. Tanzania tuna Safari ndefu.