Mimi nimeangalia hii clip nasikitika Sana. Tanzania tuna Safari ndefu

Alitupiga za uso Magufuli leo yuko wapi

Mwigulu tunamzoom tu bakora ya Mungu ikimshukia MAJI atayaita MAVI

Nipo nimekaa pale [emoji117]
 
Mkuu si umemskia anasema zimemwangwa mahela😂😂😂itakua kapata mgao😂
 
Na anaapia kwa Mungu bila uoga.... na jumapili anaenda ibada.

Tuna safari ndefu
 
Mengine muwe mnayaelzea humu, bando zenyewe Tia maji tia maji
 
Rais Samia Suluhu anafanya maendeleo mengi sana tukiweka chuki pembeni
 
Nchi hii ina matatizo makubwa mno !! yaani hata pa kuanzia unashindwa !! Watu kama hawa leo ndiyo wamejaa bungeni kupitisha kila kitu kinacholetwa na Serikali ya CCM.
 
Bila shaka ana familia inamuangalia na kuyaona matendo ya baba yao, ingekuwa ni watoto wa zama za Lenin au Mao wangegoma kulipiwa ada au kuhudumiwa na baba huyu.
 
Hiyo ndio ccm na upinzani watu wananunuliwa na wengine kusafishwa, ni hatari sana hakuna penye matumaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…