Mimi Nimeshajiandaa kusikia haya. Wewe je?

Kutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea.

1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa hatutakanyaga pale kukusanya kodi kwa miaka 35.

2. Kusitishwa kwa mradi wa umeme bwawa la Rufiji ambalo lingezalisha zaidi ya Megawatts 2100.

3. Kuuzwa ama kukodishwa kwa ndege zote za ATCL

4. Mwendo wa kusua sua wa mradi wa reli mpya treni ya umeme

5. Madawa ya kulevya kuuzwa kama pipi mitaani

6. Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita
Bhagosha kama hamkula nchi enzi za nyanda tulieni na msahau kabisa sasa ni zamu ya mama la mama
 
Karamagi, Ngereja, Chenge, Sospeter Muhongo, Chegeni, mama Tibaijuka, Lizimoko, Kagasheki na wapambe wao wapo wanapima upepo na kina cha maji....soon wanarudi upyaa.

Afrika nimeamini sisi ndio uzao wa Kaini ndugu yake na Abeli wale waliosimuliwa kwenye bible!

Mzee Mbowe Kamanda wa anga aka "baby tangulia KIA" tuokoe makamanda!

Zile NGO zilizokuwa zimagawa vilainishi kwa akina James Delicious zinarudi kwa speed ya 4G... globalization baby!
Mkuu tulia kunywa maji glass moja pressure ishuke kwanza ndo uandike utopolo wako.
 
Moderators wamefuta uzi wangu leo,

Uhuru wa kutoa maoni haupo JF.
Mataga leo ndio mnafahamu Uhuru wa kutoa maoni,wakati Dikteta wenu Jiwe alipokuwa anafungia vyombo vya habari na kuwanyanyasa wapinzani mkawa mnashangilia hamkujua umuhimu wake?
 
Kutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea.

1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa hatutakanyaga pale kukusanya kodi kwa miaka 35.

2. Kusitishwa kwa mradi wa umeme bwawa la Rufiji ambalo lingezalisha zaidi ya Megawatts 2100.

3. Kuuzwa ama kukodishwa kwa ndege zote za ATCL

4. Mwendo wa kusua sua wa mradi wa reli mpya treni ya umeme

5. Madawa ya kulevya kuuzwa kama pipi mitaani

6. Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita
Hayo ni matamanio yako ndugu trimer
 
Ungejua kama mimi nilikuwa mshenga wa baba yako ili amuoe mama yako Consolatha....jf ni msitu mkubwa huu!
Na vilainishi vikirudi kama unavyowaza tutaanza kukupaka wewe maana imeandikwa aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea.
 
Kutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea.

1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa hatutakanyaga pale kukusanya kodi kwa miaka 35.

2. Kusitishwa kwa mradi wa umeme bwawa la Rufiji ambalo lingezalisha zaidi ya Megawatts 2100.

3. Kuuzwa ama kukodishwa kwa ndege zote za ATCL

4. Mwendo wa kusua sua wa mradi wa reli mpya treni ya umeme

5. Madawa ya kulevya kuuzwa kama pipi mitaani

6. Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita
Hiyo ni kweli kabisa. Make Tanzania Great Again (MATAGA) inaondoka na kuwa replaced na Make Tanzania Backward Again (MATABA).
 
Kutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea.

1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa hatutakanyaga pale kukusanya kodi kwa miaka 35.

2. Kusitishwa kwa mradi wa umeme bwawa la Rufiji ambalo lingezalisha zaidi ya Megawatts 2100.

3. Kuuzwa ama kukodishwa kwa ndege zote za ATCL

4. Mwendo wa kusua sua wa mradi wa reli mpya treni ya umeme

5. Madawa ya kulevya kuuzwa kama pipi mitaani

6. Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita
Utakuwa wa kanda hiyo!! Ila nakushauri utambue chochote hufanyika kama kina maslahi kwa taifa zima
 
Kutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea.

1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa hatutakanyaga pale kukusanya kodi kwa miaka 35.

2. Kusitishwa kwa mradi wa umeme bwawa la Rufiji ambalo lingezalisha zaidi ya Megawatts 2100.

3. Kuuzwa ama kukodishwa kwa ndege zote za ATCL

4. Mwendo wa kusua sua wa mradi wa reli mpya treni ya umeme

5. Madawa ya kulevya kuuzwa kama pipi mitaani

6. Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita
Hakuna hata noja kati ya hayo yatatokea
 
Nimejiandaa kutosikia tena watu wakitekwa, nimejiandaa kutosikia watu kubambikiwa kesi, nimejiandaa kutosikia maiti zimeokotwa kwenye viroba ufukweni, nimejiandaa kutosikia raisi anajijengea uwanga wa ndege, nimejiandaa kutosikia wakulima kama wa korosho wakidhulumiwa.
Nimejiandaa kusikia watu waliokuwa hawajulikani wanajulikana,na waseme hadharani nani alikuwa anawatuma
 
Kutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea.

1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa hatutakanyaga pale kukusanya kodi kwa miaka 35.

2. Kusitishwa kwa mradi wa umeme bwawa la Rufiji ambalo lingezalisha zaidi ya Megawatts 2100.

3. Kuuzwa ama kukodishwa kwa ndege zote za ATCL

4. Mwendo wa kusua sua wa mradi wa reli mpya treni ya umeme

5. Madawa ya kulevya kuuzwa kama pipi mitaani

6. Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita
Umeme kukatika kama vile nanii
 
Ili mradi tuu mlete taharuki mahasidi nyie, kama imewauma Mama kukaa pale mmeze tikiti zimazima.
 
Kutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea.

1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa hatutakanyaga pale kukusanya kodi kwa miaka 35.

2. Kusitishwa kwa mradi wa umeme bwawa la Rufiji ambalo lingezalisha zaidi ya Megawatts 2100.

3. Kuuzwa ama kukodishwa kwa ndege zote za ATCL

4. Mwendo wa kusua sua wa mradi wa reli mpya treni ya umeme

5. Madawa ya kulevya kuuzwa kama pipi mitaani

6. Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita
Wakifanya hivyo 2025 CCM bye. bye. Miradi hii wameji commit kwenye Ilani ya Uchaguzi na bamdari ya Bagamoyo haimo unless sasa inawekwa kwenye utekelezaji kisiasa matakwa na maslahi ya kikundi kidogo
 
Watanzania hatujielewi ndo maana tutaendelea kuibiwa kila siku alipokuwepo jpm mlikuwa mnamlalamikia ameondoka mmeanza unafiki .
 
Back
Top Bottom