CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Vipi huko kunafaa kuwekeza mkuu,hata kuoa ni uwekezaji.Hapana mimi myao wa Masasi sehemu inaitwa Chiungutwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi huko kunafaa kuwekeza mkuu,hata kuoa ni uwekezaji.Hapana mimi myao wa Masasi sehemu inaitwa Chiungutwa
Bhagosha kama hamkula nchi enzi za nyanda tulieni na msahau kabisa sasa ni zamu ya mama la mamaKutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea.
1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa hatutakanyaga pale kukusanya kodi kwa miaka 35.
2. Kusitishwa kwa mradi wa umeme bwawa la Rufiji ambalo lingezalisha zaidi ya Megawatts 2100.
3. Kuuzwa ama kukodishwa kwa ndege zote za ATCL
4. Mwendo wa kusua sua wa mradi wa reli mpya treni ya umeme
5. Madawa ya kulevya kuuzwa kama pipi mitaani
6. Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita
Mkuu tulia kunywa maji glass moja pressure ishuke kwanza ndo uandike utopolo wako.Karamagi, Ngereja, Chenge, Sospeter Muhongo, Chegeni, mama Tibaijuka, Lizimoko, Kagasheki na wapambe wao wapo wanapima upepo na kina cha maji....soon wanarudi upyaa.
Afrika nimeamini sisi ndio uzao wa Kaini ndugu yake na Abeli wale waliosimuliwa kwenye bible!
Mzee Mbowe Kamanda wa anga aka "baby tangulia KIA" tuokoe makamanda!
Zile NGO zilizokuwa zimagawa vilainishi kwa akina James Delicious zinarudi kwa speed ya 4G... globalization baby!
Mataga leo ndio mnafahamu Uhuru wa kutoa maoni,wakati Dikteta wenu Jiwe alipokuwa anafungia vyombo vya habari na kuwanyanyasa wapinzani mkawa mnashangilia hamkujua umuhimu wake?Moderators wamefuta uzi wangu leo,
Uhuru wa kutoa maoni haupo JF.
Hayo ni matamanio yako ndugu trimerKutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea.
1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa hatutakanyaga pale kukusanya kodi kwa miaka 35.
2. Kusitishwa kwa mradi wa umeme bwawa la Rufiji ambalo lingezalisha zaidi ya Megawatts 2100.
3. Kuuzwa ama kukodishwa kwa ndege zote za ATCL
4. Mwendo wa kusua sua wa mradi wa reli mpya treni ya umeme
5. Madawa ya kulevya kuuzwa kama pipi mitaani
6. Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita
Na vilainishi vikirudi kama unavyowaza tutaanza kukupaka wewe maana imeandikwa aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea.Ungejua kama mimi nilikuwa mshenga wa baba yako ili amuoe mama yako Consolatha....jf ni msitu mkubwa huu!
Msamehe mkuu jina ndebile ni mtoto Wa nje ya ndoa aliyezaliwa njiti.Kapige mswaki domo linatoa harufu
Hiyo ni kweli kabisa. Make Tanzania Great Again (MATAGA) inaondoka na kuwa replaced na Make Tanzania Backward Again (MATABA).Kutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea.
1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa hatutakanyaga pale kukusanya kodi kwa miaka 35.
2. Kusitishwa kwa mradi wa umeme bwawa la Rufiji ambalo lingezalisha zaidi ya Megawatts 2100.
3. Kuuzwa ama kukodishwa kwa ndege zote za ATCL
4. Mwendo wa kusua sua wa mradi wa reli mpya treni ya umeme
5. Madawa ya kulevya kuuzwa kama pipi mitaani
6. Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita
Utakuwa wa kanda hiyo!! Ila nakushauri utambue chochote hufanyika kama kina maslahi kwa taifa zimaKutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea.
1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa hatutakanyaga pale kukusanya kodi kwa miaka 35.
2. Kusitishwa kwa mradi wa umeme bwawa la Rufiji ambalo lingezalisha zaidi ya Megawatts 2100.
3. Kuuzwa ama kukodishwa kwa ndege zote za ATCL
4. Mwendo wa kusua sua wa mradi wa reli mpya treni ya umeme
5. Madawa ya kulevya kuuzwa kama pipi mitaani
6. Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita
Hakuna hata noja kati ya hayo yatatokeaKutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea.
1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa hatutakanyaga pale kukusanya kodi kwa miaka 35.
2. Kusitishwa kwa mradi wa umeme bwawa la Rufiji ambalo lingezalisha zaidi ya Megawatts 2100.
3. Kuuzwa ama kukodishwa kwa ndege zote za ATCL
4. Mwendo wa kusua sua wa mradi wa reli mpya treni ya umeme
5. Madawa ya kulevya kuuzwa kama pipi mitaani
6. Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita
Hili la bandari ya Bagamoyo linafikilisha sana,, yani ni maslahi binafsi ya kundi fulani
Nimejiandaa kusikia watu waliokuwa hawajulikani wanajulikana,na waseme hadharani nani alikuwa anawatumaNimejiandaa kutosikia tena watu wakitekwa, nimejiandaa kutosikia watu kubambikiwa kesi, nimejiandaa kutosikia maiti zimeokotwa kwenye viroba ufukweni, nimejiandaa kutosikia raisi anajijengea uwanga wa ndege, nimejiandaa kutosikia wakulima kama wa korosho wakidhulumiwa.
Umeme kukatika kama vile naniiKutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea.
1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa hatutakanyaga pale kukusanya kodi kwa miaka 35.
2. Kusitishwa kwa mradi wa umeme bwawa la Rufiji ambalo lingezalisha zaidi ya Megawatts 2100.
3. Kuuzwa ama kukodishwa kwa ndege zote za ATCL
4. Mwendo wa kusua sua wa mradi wa reli mpya treni ya umeme
5. Madawa ya kulevya kuuzwa kama pipi mitaani
6. Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita
Wakifanya hivyo 2025 CCM bye. bye. Miradi hii wameji commit kwenye Ilani ya Uchaguzi na bamdari ya Bagamoyo haimo unless sasa inawekwa kwenye utekelezaji kisiasa matakwa na maslahi ya kikundi kidogoKutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea.
1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa hatutakanyaga pale kukusanya kodi kwa miaka 35.
2. Kusitishwa kwa mradi wa umeme bwawa la Rufiji ambalo lingezalisha zaidi ya Megawatts 2100.
3. Kuuzwa ama kukodishwa kwa ndege zote za ATCL
4. Mwendo wa kusua sua wa mradi wa reli mpya treni ya umeme
5. Madawa ya kulevya kuuzwa kama pipi mitaani
6. Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita
Hapa hapa mkuuNa mimi wa chikukwe nicomment wapi
Basi hayaHapa hapa mkuu