Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake.
1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa wengine.
2. Hivi tunavyo ongea uwanja wa ndege wa KIA na misitu yote ya Tanzania bila kusahau eneo la hifadhi ya Ngorongoro sasa iko chini ya himaya ya waarabu wa Oman, huu ni USALITI kwa nchi na lazima kila aliyehusika awajibishwe na mali zote zirudishwe maramoja.
3. Majibu ya dhihaka na dharau dhidi ya hoja nzito: Mfano, yule digidigi aliyetunga hili jina langu la Ponjoro wa Kinondoni alikuja na hoja nzito na zamaana lakini mama akamwambia simply anataka ku gwajimanize chama. Haya majibu yanaonesha hoja zimekuwa nzito na hazijibiki.
4. Kitendo cha kujenga barabara za mwendokasi, kununua mabasi kwa fedha za serikali kisha kuita mwekezaji mgeni na kumkabidhi aendeshe. Huu ni zaidi ya UTAPELI. Yani mwekezaji anayetakiwa kuja na mtaji badala yake serikali inakopa inampa kila kitu, jambo la hovyo kabisa.
Mwisho: NIMEFURAHI BAADA YA KUAMBIWA UMERUDI HOME KUTAFAKARI, NADHANI UTAJIUZULU NA HUTACHUKUA TENA FOMU LAKINI WATENDAJI WALIYOFANYA HAYA LAZIMA WACHUKULIWE HATUA.