Mimi Ponjoro wa Kinondoni October Sitamuunga mkono Samia Suluhu Hassan. Namwomba Apumzike kama Philip Mpango na Majaliwa Majaliwa

Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake.

1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa wengine.
2. Hivi tunavyo ongea uwanja wa ndege wa KIA na misitu yote ya Tanzania bila kusahau eneo la hifadhi ya Ngorongoro sasa iko chini ya himaya ya waarabu wa Oman, huu ni USALITI kwa nchi na lazima kila aliyehusika awajibishwe na mali zote zirudishwe maramoja.
3. Majibu ya dhihaka na dharau dhidi ya hoja nzito: Mfano, yule digidigi aliyetunga hili jina langu la Ponjoro wa Kinondoni alikuja na hoja nzito na zamaana lakini mama akamwambia simply anataka ku gwajimanize chama. Haya majibu yanaonesha hoja zimekuwa nzito na hazijibiki.
4. Kitendo cha kujenga barabara za mwendokasi, kununua mabasi kwa fedha za serikali kisha kuita mwekezaji mgeni na kumkabidhi aendeshe. Huu ni zaidi ya UTAPELI. Yani mwekezaji anayetakiwa kuja na mtaji badala yake serikali inakopa inampa kila kitu, jambo la hovyo kabisa.

Mwisho: NIMEFURAHI BAADA YA KUAMBIWA UMERUDI HOME KUTAFAKARI, NADHANI UTAJIUZULU NA HUTACHUKUA TENA FOMU LAKINI WATENDAJI WALIYOFANYA HAYA LAZIMA WACHUKULIWE HATUA.
Acha uzushi na upuuzi
 
View: https://www.threads.com/@leonardsoza/post/DMR5P_utIB0?xmt=AQF0p1ElZGEEAT5jwSOE1rdehbsXgxH3Opr3SPlfIN3Aqg
 
2. Hivi tunavyo ongea uwanja wa ndege wa KIA na misitu yote ya Tanzania bila kusahau eneo la hifadhi ya Ngorongoro sasa iko chini ya himaya ya waarabu wa Oman, huu ni USALITI kwa nchi na lazima kila aliyehusika awajibishwe na mali zote zirudishwe maramoja.
Sasa tuelewe nini, hata watu kama wewe, 'Ponjoro wa Kinondoni', kwa maksudi kabisa mnaficha taarifa kuhusu GESI yetu ya NTORYA, kule Mtwara waliyo Pewa wajomba . Habari hizi kwa maksudi kabisa mnazificha tusijue; maana yake hiyo ni kitu gani?

Hivi hao wajomba na wenyewe iliwalazimu kugawa mali zao kama tunavyofanya sisi kabla ya wao kuwa na nafuu ya maisha huko kwao?
 
Nilisahau mkuu, atoke tu.
 
Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake.

1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa wengine.
2. Hivi tunavyo ongea uwanja wa ndege wa KIA na misitu yote ya Tanzania bila kusahau eneo la hifadhi ya Ngorongoro sasa iko chini ya himaya ya waarabu wa Oman, huu ni USALITI kwa nchi na lazima kila aliyehusika awajibishwe na mali zote zirudishwe maramoja.
3. Majibu ya dhihaka na dharau dhidi ya hoja nzito: Mfano, yule digidigi aliyetunga hili jina langu la Ponjoro wa Kinondoni alikuja na hoja nzito na zamaana lakini mama akamwambia simply anataka ku gwajimanize chama. Haya majibu yanaonesha hoja zimekuwa nzito na hazijibiki.
4. Kitendo cha kujenga barabara za mwendokasi, kununua mabasi kwa fedha za serikali kisha kuita mwekezaji mgeni na kumkabidhi aendeshe. Huu ni zaidi ya UTAPELI. Yani mwekezaji anayetakiwa kuja na mtaji badala yake serikali inakopa inampa kila kitu, jambo la hovyo kabisa.

Mwisho: NIMEFURAHI BAADA YA KUAMBIWA UMERUDI HOME KUTAFAKARI, NADHANI UTAJIUZULU NA HUTACHUKUA TENA FOMU LAKINI WATENDAJI WALIYOFANYA HAYA LAZIMA WACHUKULIWE HATUA.
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Atakula kwa mama nitilie
Kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali A.S aliuwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.

Mcheki mwamba hapo Chini akielekea Karbala kwenye battle of Ashura kuutetea uislamu.

Screenshot_2025-07-18-16-30-28-06_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
Screenshot_2025-07-11-11-53-45-34_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
Screenshot_2025-07-09-18-01-08-90_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Back
Top Bottom