Tarimba Complex Kinondoni inalipa nila shaka.Nimeshaiba vyakutosha ndugu
NDo shida ya kulawitiwa ukiwa bado upo shule tena na mlinzi wa shule. Akili zinakuwa mgandoHujajibu swali. Nikutumie na ya kutolea?
Kumbe ulifanyiwa hivyo? Pole sana! Ebu nenda kamwone Wakili Mwabukusi akusaidie.NDo shida ya kulawitiwa ukiwa bado upo shule tena na mlinzi wa shule. Akili zinakuwa mgando
Sawa ila simtaki.Tarimba Complex Kinondoni inalipa nila shaka.
Endelea kufumuliwa malinda tu huna jipya.Kumbe ulifanyiwa hivyo? Pole sana! Ebu nenda kamwone Wakili Mwabukusi akusaidie.
Amefariki?Kwani Kinana yuko wapi?
Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake.
1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa wengine.
2. Hivi tunavyo ongea uwanja wa ndege wa KIA na misitu yote ya Tanzania bila kusahau eneo la hifadhi ya Ngorongoro sasa iko chini ya himaya ya waarabu wa Oman, huu ni USALITI kwa nchi na lazima kila aliyehusika awajibishwe na mali zote zirudishwe maramoja.
3. Majibu ya dhihaka na dharau dhidi ya hoja nzito: Mfano, yule digidigi aliyetunga hili jina langu la Ponjoro wa Kinondoni alikuja na hoja nzito na zamaana lakini mama akamwambia simply anataka ku gwajimanize chama. Haya majibu yanaonesha hoja zimekuwa nzito na hazijibiki.
4. Kitendo cha kujenga barabara za mwendokasi, kununua mabasi kwa fedha za serikali kisha kuita mwekezaji mgeni na kumkabidhi aendeshe. Huu ni zaidi ya UTAPELI. Yani mwekezaji anayetakiwa kuja na mtaji badala yake serikali inakopa inampa kila kitu, jambo la hovyo kabisa.
Mwisho: NIMEFURAHI BAADA YA KUAMBIWA UMERUDI HOME KUTAFAKARI, NADHANI UTAJIUZULU NA HUTACHUKUA TENA FOMU LAKINI WATENDAJI WALIYOFANYA HAYA LAZIMA WACHUKULIWE HATUA.
Ponjoro wa kinondoni hii safiKwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake.
1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa wengine.
2. Hivi tunavyo ongea uwanja wa ndege wa KIA na misitu yote ya Tanzania bila kusahau eneo la hifadhi ya Ngorongoro sasa iko chini ya himaya ya waarabu wa Oman, huu ni USALITI kwa nchi na lazima kila aliyehusika awajibishwe na mali zote zirudishwe maramoja.
3. Majibu ya dhihaka na dharau dhidi ya hoja nzito: Mfano, yule digidigi aliyetunga hili jina langu la Ponjoro wa Kinondoni alikuja na hoja nzito na zamaana lakini mama akamwambia simply anataka ku gwajimanize chama. Haya majibu yanaonesha hoja zimekuwa nzito na hazijibiki.
4. Kitendo cha kujenga barabara za mwendokasi, kununua mabasi kwa fedha za serikali kisha kuita mwekezaji mgeni na kumkabidhi aendeshe. Huu ni zaidi ya UTAPELI. Yani mwekezaji anayetakiwa kuja na mtaji badala yake serikali inakopa inampa kila kitu, jambo la hovyo kabisa.
Mwisho: NIMEFURAHI BAADA YA KUAMBIWA UMERUDI HOME KUTAFAKARI, NADHANI UTAJIUZULU NA HUTACHUKUA TENA FOMU LAKINI WATENDAJI WALIYOFANYA HAYA LAZIMA WACHUKULIWE HATUA.
Chukua pepsi baariidi,usihofu bill.Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake.
1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa wengine.
2. Hivi tunavyo ongea uwanja wa ndege wa KIA na misitu yote ya Tanzania bila kusahau eneo la hifadhi ya Ngorongoro sasa iko chini ya himaya ya waarabu wa Oman, huu ni USALITI kwa nchi na lazima kila aliyehusika awajibishwe na mali zote zirudishwe maramoja.
3. Majibu ya dhihaka na dharau dhidi ya hoja nzito: Mfano, yule digidigi aliyetunga hili jina langu la Ponjoro wa Kinondoni alikuja na hoja nzito na zamaana lakini mama akamwambia simply anataka ku gwajimanize chama. Haya majibu yanaonesha hoja zimekuwa nzito na hazijibiki.
4. Kitendo cha kujenga barabara za mwendokasi, kununua mabasi kwa fedha za serikali kisha kuita mwekezaji mgeni na kumkabidhi aendeshe. Huu ni zaidi ya UTAPELI. Yani mwekezaji anayetakiwa kuja na mtaji badala yake serikali inakopa inampa kila kitu, jambo la hovyo kabisa.
Mwisho: NIMEFURAHI BAADA YA KUAMBIWA UMERUDI HOME KUTAFAKARI, NADHANI UTAJIUZULU NA HUTACHUKUA TENA FOMU LAKINI WATENDAJI WALIYOFANYA HAYA LAZIMA WACHUKULIWE HATUA.
Pamoja sana JPM kumbe peponi pia mnaingia JF?Ponjoro wa kinondoni hii safi
Ponjoro kaswitch gear angani au naota?Ama sii Ponjoro yule?Ponjoro wa kinondoni hii safi
Hamna shida utakwenda kutiki nyumbani kwakeMi najiandaa ku tick october tu!!hizi ngonjera sizielewi kabisa!!
na ndo anamtuma kuteka na kufira wapinzani sio?Mama Yuko Sana Tu. Mama Samia licha ya kuungwa mkono na watanzania wote pia NI Mungu ndiye alitaka awe Rais Na Mungu atampa mitano mingine.
Amefariki?
Okay okay.Unaulizwa swali jibu. Ufufuo na uzima, na kufa wapi na wapi?
Wewe ni TISS mkuu?Ndugu Ponjoro! I warn you