Imeanza lini mkuu!Mkuu ipo hivi.
Tanesco walisema ili kupata umeme unatakiwa kulipia Zaidi ya 2,000 ili 1,000 ulipie pango kwa mwezi wa saba na 1,000 nyingine tena italipia pango kwa mwezi huu wa nane.
Hivyo ukitaka kupata umeme unalipa labda 3,000 ili wakikata 2,000 yao utabakiwa na 1,000 na hiyo ndo itatumika kununua Umeme.
Lakini mimi na majira pamoja na wadau wa karibu hata ukilipia Umeme wa 4,000 inagoma mpaka ulipe 5,000 au zaidi.
Kwahiyo watakuwa wanakata kila mwezi au kila ukinunua luku wao wanafyekaMkuu ipo hivi.
Tanesco walisema ili kupata umeme unatakiwa kulipia Zaidi ya 2,000 ili 1,000 ulipie pango kwa mwezi wa saba na 1,000 nyingine tena italipia pango kwa mwezi huu wa nane.
Hivyo ukitaka kupata umeme unalipa labda 3,000 ili wakikata 2,000 yao utabakiwa na 1,000 na hiyo ndo itatumika kununua Umeme.
Lakini mimi na majira pamoja na wadau wa karibu hata ukilipia Umeme wa 4,000 inagoma mpaka ulipe 5,000 au zaidi.
Mwache mama yetu afanye kazi. Kama hukubaliani na maamuzi yake subiri kipindi cha uchaguzi uchague unayeona ataweza kuendeleza nchi bila kodi na tozo.Mkuu mungu anakuona
Inatuhusu hata sisi wenye umeme wa REA kwenye nyumba zilizoezekwa kwa nyasi vijijini?!Wameanza jana
Kwani hukujua kwanini kufunga umeme ni Tsh. 27,000/= pekee.Inatuhusu hata sisi wenye umeme wa REA kwenye nyumba zilizoezekwa kwa nyasi vijijini?!
Huna akili.Kwani hukujua kwanini kufunga umeme ni Tsh. 27,000/= pekee.
Tozo zikionekana zinafaa mwakani tutapanua wigo. Kufunga umeme ni bure, ili tufikie 90% ya nyumba zote. Then tunaweka tozo fixed rate ya 5000 kwa mwezi kwa ajili ya maendeleo ya nchi kwa ujumla.
Inawezekana sana.
Dah ila hawa watoto ambao hawajawa na majukumu shida sana.Kwani hukujua kwanini kufunga umeme ni Tsh. 27,000/= pekee.
Tozo zikionekana zinafaa mwakani tutapanua wigo. Kufunga umeme ni bure, ili tufikie 90% ya nyumba zote. Then tunaweka tozo fixed rate ya 5000 kwa mwezi kwa ajili ya maendeleo ya nchi kwa ujumla.
Inawezekana sana.
Nimekuelawa mhaJifunze kuandika kiswahili sanifu japo najua nyie Wasukuma huwa hamna "r" ! Nilopoke × Niropoke√
Msifikili× Msifikiri√
Kwa taarifa yako tozo ni mbadala wa fedha za dhuluma alizokuwa akikusanya Mwendazake kupitia task force zake na wale watu wasiojulikana!
Wewe umemsikia tena Paulo Makonda akitutambia anavyokula raha kuliko wote duniani?!
Tutasali covid iwaondoshe kabla hawajatukumbuka 😆😆😆Huko hawajaanza kukata labda baadae wanaweza kuwakumbuka.
Wakuu najua uzima upo wa kutosha sema mtakuwa na stress za Tozo tu nyie. Baada ya kuwasalimu ngoja kidogo na mimi nitie neno.
Binafsi mimi si Mwanasiasa wala sijawahi kushabikia chama ila kwenye hili ngoja na mimi nilopoke kidogo.
Awamu hii ya sita ambayo inaongozwa na mama shupavu kwango kama sijaelewa maana uzoefu wangu unakinzana na niliyo yaona awamu ya tano.
-Awamu ya tano hapakua na ongezeko la tozo za Miamala, ila awamu hii tutaimba ule wimbo pendwa wa chama tawala Wacha waisome namba.. hapa si chama pinzani bali sote.
Pia kwenye hili naona chama kilichopo kimeamua kutunyonga kwenye ulipaji wa Pango japo wanasema eti unalipia Zaidi ya elfu mbili Unapata Umeme, lakini ukilipa chini ya 5,000 kupata umeme sahau.
Kumbuka haya yote ni awamu hii, pia nikiangalia mama yeye hasemi sana kuhusu haya wapo mawaziri wake yeye busy na kusafiri.
NB: Tulio pinga awamu ya 5 na kuanza kushabikia awamu hii msifikili imewasahau nawacheki tu.
Sina mengi ila tutaisoma namba kiukweli na Yajayo yanafurahisha mko tayari wananzengo?
Umeandika vizuri, lakini naomba ukumbuke nchi itajengwa na wananchi. Hatutaweza weza kuona manufaa ya hizi tozo ndani ya mwezi mmoja au miwili lakini manufaa ni makubwa japo yanamaumivu.Wakuu najua uzima upo wa kutosha sema mtakuwa na stress za Tozo tu nyie. Baada ya kuwasalimu ngoja kidogo na mimi nitie neno.
Binafsi mimi si Mwanasiasa wala sijawahi kushabikia chama ila kwenye hili ngoja na mimi nilopoke kidogo.
Awamu hii ya sita ambayo inaongozwa na mama shupavu kwango kama sijaelewa maana uzoefu wangu unakinzana na niliyo yaona awamu ya tano.
-Awamu ya tano hapakua na ongezeko la tozo za Miamala, ila awamu hii tutaimba ule wimbo pendwa wa chama tawala Wacha waisome namba.. hapa si chama pinzani bali sote.
Pia kwenye hili naona chama kilichopo kimeamua kutunyonga kwenye ulipaji wa Pango japo wanasema eti unalipia Zaidi ya elfu mbili Unapata Umeme, lakini ukilipa chini ya 5,000 kupata umeme sahau.
Kumbuka haya yote ni awamu hii, pia nikiangalia mama yeye hasemi sana kuhusu haya wapo mawaziri wake yeye busy na kusafiri.
NB: Tulio pinga awamu ya 5 na kuanza kushabikia awamu hii msifikili imewasahau nawacheki tu.
Sina mengi ila tutaisoma namba kiukweli na Yajayo yanafurahisha mko tayari wananzengo?
EU wanalipa kodi na matokeo ya hizo kodi yanaonekana tofauti na huku kwetu. Huwezi kumkamua mwananchi maskini kutafuta hela kuwajengea mahekalu marais wastaafu. Ni ushetani.Watu wengine hivi tozo ni hobby kama mpira? Hakuna tuzo nzuri au mbaya nenda kaishi EU uone hizo kodi wanazolipa