Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinabuniwa kila kukicha na Mchumi wetu mahiri.Kweli aisee ngoja tusubiri
EU wanalipa kodi na matokeo ya hizo kodi yanaonekana tofauti na huku kwetu. Huwezi kumkamua mwananchi maskini kutafuta hela kuwajengea mahekalu marais wastaafu. Ni ushetani.
Huyu naye atamjengea yule. Ndizo sheria zinazopitishwa na bunge lenu tukufu...Duh!!
..aliyejenga mahekalu kwa wastaafu ni "yule" sio "huyu" aliyeko madarakani.
Unadhani wabunge wa ccm wanaweza kuirekebisha sheria hiyo?Huyu naye atamjengea yule. Ndizo sheria zinazopitishwa na bunge lenu tukufu.
Tatizo ni ubinafsi tulionao. Hili ni tatizo kwetu sote, CCM na wapinzani.Unadhani wabunge wa ccm wanaweza kuirekebisha sheria hiyo?
Wastaafu watunzwe na serikali kwa miaka 10 tu.
Baada ya hapo wajitegemee huku wakiwa na walinzi mpaka mauti yao.
Huko EU huwezi linganisha na huku, wao pesa huonekana kazi yake inayofanyika lakini sie wanaanza na mchakato posho, sasa kazi ianze imebaki 20%Watu wengine hivi tozo ni hobby kama mpira? Hakuna tuzo nzuri au mbaya nenda kaishi EU uone hizo kodi wanazolipa
Eti analinganisha na huku kwa wapiga dili ,uzinzi na kadharikaEU wanalipa kodi na matokeo ya hizo kodi yanaonekana tofauti na huku kwetu. Huwezi kumkamua mwananchi maskini kutafuta hela kuwajengea mahekalu marais wastaafu. Ni ushetani.
Uwiii jamaniIla wameanza kwa kunyonga pakubwa sana mkuu mimi nafkria unyama walio nifanyia leo.
Kweli 5000 unit 1.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH
0029 2493 0496 3524 7260
Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
Ngoja inyeshe tuone panapovuja, Maana Mama anapiga kwenye mshono.Wakuu najua uzima upo wa kutosha sema mtakuwa na stress za Tozo tu nyie. Baada ya kuwasalimu ngoja kidogo na mimi nitie neno.
Binafsi mimi si Mwanasiasa wala sijawahi kushabikia chama ila kwenye hili ngoja na mimi nilopoke kidogo.
Awamu hii ya sita ambayo inaongozwa na mama shupavu kwango kama sijaelewa maana uzoefu wangu unakinzana na niliyo yaona awamu ya tano.
- Awamu ya tano hapakua na ongezeko la tozo za Miamala, ila awamu hii tutaimba ule wimbo pendwa wa chama tawala Wacha waisome namba.. hapa si chama pinzani bali sote.
Pia kwenye hili naona chama kilichopo kimeamua kutunyonga kwenye ulipaji wa Pango japo wanasema eti unalipia Zaidi ya elfu mbili Unapata Umeme, lakini ukilipa chini ya 5,000 kupata umeme sahau.
Kumbuka haya yote ni awamu hii, pia nikiangalia mama yeye hasemi sana kuhusu haya wapo mawaziri wake yeye busy na kusafiri.
NB: Tulio pinga awamu ya 5 na kuanza kushabikia awamu hii msifikili imewasahau nawacheki tu.
Sina mengi ila tutaisoma namba kiukweli na Yajayo yanafurahisha mko tayari wananzengo?
Acha kelele lipa kodiWakuu najua uzima upo wa kutosha sema mtakuwa na stress za Tozo tu nyie. Baada ya kuwasalimu ngoja kidogo na mimi nitie neno.
Binafsi mimi si Mwanasiasa wala sijawahi kushabikia chama ila kwenye hili ngoja na mimi nilopoke kidogo.
Awamu hii ya sita ambayo inaongozwa na mama shupavu kwango kama sijaelewa maana uzoefu wangu unakinzana na niliyo yaona awamu ya tano.
- Awamu ya tano hapakua na ongezeko la tozo za Miamala, ila awamu hii tutaimba ule wimbo pendwa wa chama tawala Wacha waisome namba.. hapa si chama pinzani bali sote.
Pia kwenye hili naona chama kilichopo kimeamua kutunyonga kwenye ulipaji wa Pango japo wanasema eti unalipia Zaidi ya elfu mbili Unapata Umeme, lakini ukilipa chini ya 5,000 kupata umeme sahau.
Kumbuka haya yote ni awamu hii, pia nikiangalia mama yeye hasemi sana kuhusu haya wapo mawaziri wake yeye busy na kusafiri.
NB: Tulio pinga awamu ya 5 na kuanza kushabikia awamu hii msifikili imewasahau nawacheki tu.
Sina mengi ila tutaisoma namba kiukweli na Yajayo yanafurahisha mko tayari wananzengo?
Huko EU huwezi linganisha na huku, wao pesa huonekana kazi yake inayofanyika lakini sie wanaanza na mchakato posho, sasa kazi ianze imebaki 20%
Tanzania hii au nyingine?Unatakiwa kuhoji matumizi kama ndiyo hivyo na sio kukataa tozo. Ujue tu tozo ya serikali ni asilimia ndogo ya tozo za simu na wenyewe waulizwe kama hizo tozo ni fair