Mimi si Mwanasiasa, ila kwenye hili la Tozo hapana

Ila wameanza kwa kunyonga pakubwa sana mkuu mimi nafkria unyama walio nifanyia leo.
Kweli 5000 unit 1.

LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH

0029 2493 0496 3524 7260

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
 
Sio kama kodi hiyo haikuwepo, ilikuwepo ila tulikuwa tunalipa mara moja kwa mwaka kwa nyumba za kawaida 10,000/- na Ghorofa 50,000/-, na walikuwa wanalipa wale wenye hati miliki tu. Kilichotokea ni kuikusanya kwa kutumia Luku mara moja kwa mwezi Tsh 1,000/- kwa nyumba za kwa nyumba za kawaida na ghorofa kila flat yenye Luku Tzs 5,000/-

Kikubwa ilikuwa ni kuongeza wigo wa walipa kodi ya pango la aridhi bila kujali nyumba ina hati au haina hati. Naamini nyumba zenye Luku ni nyingi kuliko zenye hati miliki. Ni vizuri serikali kama itakusanya mapato mengi na yakawekezwa kwenye kuboresha huduma za kijamii, cha mihimu ni kupambana na mchwa kwenye hizi fedha na matokeo yaweze kuonekana.
 
Hapa kumbuka kuna watu wanamiliki Nyumba zenye zaidi ya meter moja hapo si watapata pigo zaidi.
 
Hapa kumbuka kuna watu wanamiliki Nyumba zenye zaidi ya meter moja hapo si watapata pigo zaidi.
Kwenye maghorofa mpango kila flat yenye Luku italipia, kwa nyumba zenye Luku zaidi ya moja zitatolewa taarifa ili meter moja ndio iwe inalipa.
 
Kwenye maghorofa mpango kila flat yenye Luku italipia, kwa nyumba zenye Luku zaidi ya moja zitatolewa taarifa ili meter moja ndio iwe inalipa.
Hapo meter moja italipia ila ni zaidi ya 1,000 kwa mwezi kwa Nyumba ya kawaida.
 
Hapo meter moja italipia ila ni zaidi ya 1,000 kwa mwezi kwa Nyumba ya kawaida.
Hapana, sema kwa kuwa mwaka wa fedha wa serikali unaanza kila mwezi wa saba, ukilipia Luku leo watakata mara mbili kodi ya Pango ya July na August ambayo n iTZS 2,000/'
 
Hapana, sema kwa kuwa mwaka wa fedha wa serikali unaanza kila mwezi wa saba, ukilipia Luku leo watakata mara mbili kodi ya Pango ya July na August ambayo n iTZS 2,000/'
Mimi leo nimelipia 5,000 nimepata unit 1.5
Mbaya zaidi hawatoi mchanganuo kiaje wamekata
 
View attachment 1902287
Debt collected ni tozo la aridhi 2,000/- kwa mwezi July na August
Kama ni hivyo basi kwangu wamekusanya 4500.

LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH

0029 2493 0496 3524 7260

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
 
Ni mwendo wakupandisha2 . Haka kabibi na Jobo wake Watapandisha hadi mashetani
 
Kama ni hivyo basi kwangu wamekusanya 4500.

LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH

0029 2493 0496 3524 7260

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
Hapa kawaone Tanesco kituo cha karibu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…