Mimi si Mwanasiasa, ila kwenye hili la Tozo hapana

EU wanalipa kodi na matokeo ya hizo kodi yanaonekana tofauti na huku kwetu. Huwezi kumkamua mwananchi maskini kutafuta hela kuwajengea mahekalu marais wastaafu. Ni ushetani.

..Duh!!

..aliyejenga mahekalu kwa wastaafu ni "yule" sio "huyu" aliyeko madarakani.
 
Huyu naye atamjengea yule. Ndizo sheria zinazopitishwa na bunge lenu tukufu.
Unadhani wabunge wa ccm wanaweza kuirekebisha sheria hiyo?

Wastaafu watunzwe na serikali kwa miaka 10 tu.

Baada ya hapo wajitegemee huku wakiwa na walinzi mpaka mauti yao.
 
Unadhani wabunge wa ccm wanaweza kuirekebisha sheria hiyo?

Wastaafu watunzwe na serikali kwa miaka 10 tu.

Baada ya hapo wajitegemee huku wakiwa na walinzi mpaka mauti yao.
Tatizo ni ubinafsi tulionao. Hili ni tatizo kwetu sote, CCM na wapinzani.

Ni mbunge gani wa upinzani aliyewahi kusema baadhi ya posho wanazolipwa ni wizi?! Zitto alijaribu japo kinafiki.
 
Watu wengine hivi tozo ni hobby kama mpira? Hakuna tuzo nzuri au mbaya nenda kaishi EU uone hizo kodi wanazolipa
Huko EU huwezi linganisha na huku, wao pesa huonekana kazi yake inayofanyika lakini sie wanaanza na mchakato posho, sasa kazi ianze imebaki 20%
 
EU wanalipa kodi na matokeo ya hizo kodi yanaonekana tofauti na huku kwetu. Huwezi kumkamua mwananchi maskini kutafuta hela kuwajengea mahekalu marais wastaafu. Ni ushetani.
Eti analinganisha na huku kwa wapiga dili ,uzinzi na kadharika
 
Uwiii jamani
 
Ngoja inyeshe tuone panapovuja, Maana Mama anapiga kwenye mshono.
 
Acha kelele lipa kodi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huko EU huwezi linganisha na huku, wao pesa huonekana kazi yake inayofanyika lakini sie wanaanza na mchakato posho, sasa kazi ianze imebaki 20%

Unatakiwa kuhoji matumizi kama ndiyo hivyo na sio kukataa tozo. Ujue tu tozo ya serikali ni asilimia ndogo ya tozo za simu na wenyewe waulizwe kama hizo tozo ni fair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…