Mimi sio kungwi ila ni mwanamke, ichukue hii

Mbona unakuwa mkali , mtoa mada ametema madini muhimu kwa vijana ila wao ndio hawaskii la mkuu.
 
KE yupo above 28yrs,halafu anataka mwanaume mwenye hofu ya Mungu, majority wao wenyewe mioyoni mwao hawaja itengeneza hiyo.Ngumu sana binti mwenye hofu ya Mungu below 25,haisionekane na mwanaume na hata akivuka hiyo 25yrs still bado anaprobability kubwa ya kuonekana.

Unakuta binti kapwiyanga viwanja vyote anavijua,style zote anzijua,wauni wamekichafua kwenye K kama Kante kwenye dimba la kati,then anatafuta mwenye hofu ya Mungu, huku akiwa na matarajio makubwa ya kuvipata vile vitu kama alivyo kuwa akivipata kutoka kwa wahuni wake wa zamani. Kumbe mwamba (Church boy/good boy/nice boy) yy style zake za kawaida, ndio utasikia anaanza kumtangaza hana pumzi sijui kibamia (yy kazoea mihogo na mitindo ya ajabu ajabu) nk.Baada ya hapo anaanza kutafuta wahuni wake wa zamani wa mkaze, then mwamba huku analetewa watoto wasio wake.
 
🙉🙉🙉
 
Pathetic indeed.
 
Mkuu Jadda hatukatai kuwa hao wanawake wakongwe wanaolewa daily, issue ya mleta uzi nadhani na wewe haujaielewa pia.

Hao wataolewa tena sana ila wataolewa na wanaume wapumbavu wa mambo, na ndio maana hata ukiangalia hizo ndoa ndio.zina migogoro mingi na upungufu wa furaha ni sababu wanaume hao wameuziwa mbuzi kwa gunia (tuwape pole kidogo)

Mwanamke anapaswa kuolewa akiwa kwenye miaja 25 hivi juu ya hapo kuwa na utulivu kwa hiyo ndoa ni kwa kudra za Mwenyezi Mungu.

Ukiona mwanaume ameoa na bado akawa na mchepuko au michepuko basi jua tatizo kalileta mwanamke wala usiseme ni tabia za wanaume kutamani, huo ni uzembe na kujisahau kwa mwanamke na bahati mbaya sana huo uzembe na kujisahau kunapatikana kwa wanawake ambao kilomita zishasoma sana.
 
Wape wape wape mamaaaa...
 
HUU UZI UMEANDIKWA NA MWANAMKE MWEZENU KUWAPASHA HABARI WANAUME KUHUSU WANAWAKE MLIVYO NA AMESEMA UKWELI HAJAFICHA HATA KIMOJA ILA SASA HIVI TUME UPDATE UMRI MWANAMKE UKIFIKA MIAKA 25 HAUJAOLEWA WEWE NI MTUMBA HUFAI TENA NA SOKO LAKO HALIPO ZAIDI YA KUKOJOLEWA NA WALEVI TUU
 
Kama hakuna alie elewa basi tena, Uzi ufungwe mkuu kafafanua vizuri sana
 
Hii sio kweli, ni jinsi tu wanaume tunapenda kufikiria

Sio kwamba kutokuolewa kunasababisha mwanamke awe feminist, ni kwamba kuwa feminist kunasababisha afikirie kutokuolewa

Na mwanamke hawezi kuchukia wanaume kisa haolewi, zaidi atajichukia mwenyewe tu.
 
Mkuu umepatia sana. Kumbuka kuwa hata single mothers wengi huapatikana ktk steji mojawapo miongoni mwa hizi ulizotaja hapa. Mwanamke akishaona umri umeenda na bado hana mtoto, hujilipua kwa mwanaume yotote anamzalisha halafu shughuli ya kulea anataka kuwapa wanaume wengine. Thubutu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…