Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Amelaaniwa yule amtumainiaye binadamu,

PM Kassim Majaliwa Alikuwa akinyanyua simu kwa wafadhili na wadhamini ndani ya 24 hrs akaunti ya Namungo inajaa.ole wako ukatae,utaonekana mpinga maendeleo

Ligi kuu kuiendesha ni gharamasana kuilisha mijibaba zaidi ya 30,yenye familia,mingine inaenda saloon kila weekend kusuka sii mchezo

Wakati msiba wa Namungo umefika,SBS wajiandae

Hii inaitwa law of bumping kwa wataalam wa fizikia
 
Ndiyo tayari umeshamsimanga au hiyo ni appetizer tu muheshimiwa?
 
I know ila kumbuka yeye hana cha kupoteza akiamua kuwapotezea Namungo
Kuianzisha tu ni ishara tosha kuwa anaipenda,na akitaka kuiacha ataiacha ikiwa tayari iko ktk mikono salama, either chini ya halmashauri au chini ya mwekezaji
 
Ilikuwa inamsaidia sana kisiasa kupata credit toka kwa wapiga kura wake
 
Amelaaniwa yule amtumainiaye binadamu,

PM Kassim Majaliwa Alikuwa akinyanyua simu kwa wafadhili na wadhamini ndani ya 24 hrs akaunti ya Namungo inajaa.ole wako ukatae,utaonekana mpinga maendeleo

Ligi kuu kuiendesha ni gharamasana kuilisha mijibaba zaidi ya 30,yenye familia,mingine inaenda saloon kila weekend kusuka sii mchezo

Wakati msiba wa Namungo umefika,SBS wajiandae

Hii inaitwa law of bumping kwa wataalam wa fizikia
Hata Singida Big Stars, Mwigulu akinyimwa Uwaziri wa fuko la Kutunzia hela, Hawataweza kumudu kuwalipa wale nyota wao....
 
Back
Top Bottom