Kinyume chake ndio sahihi zaidiKuingia ni rahisi kuretain position ni gharama sana,
Hiyo thank you inaweza kuakisi negative pia , maana yake wanaweza kuwa hawana uwezo tena kuwalipa (signing fee) + salary ndio maana wanawaachia ili watafute wengine wenye gharama nafuuTembelea page yao ya instagram,, wanatoa thank you kibao mpaka hapo wana uhakika wa kusajili, ni wazi mzigo upo......acha kukariri maisha mkuu
Inasikitisha sana ,hii inaakisi kodi za raia zinatumika hukoWakiwa nje ya mfumo na timu huwa zinashuka daraja hili sio la kwanza rejea singda united.
Hizi timu huwa zinazopanda daraja kwa kodi zetu
Kuwekeza kwenye mpira ni hasara endapo hautumii kama mbinu ya marketing kama Mo, SSB Group na GSM wanavyofanya.Unajuwa ukwasi aliouvuna waziri mkuu tangu2015 Hadi sasa??! Je wajua waziri mkuu anaweza kumzidi rais wake ukwasi?
Timu imeanzishwa kisiasa, faida yake ni kisiasa tu. Ligi inakusanya vijana, mji unachangamka watu wanasahau shida zao.Kuianzisha tu ni ishara tosha kuwa anaipenda,na akitaka kuiacha ataiacha ikiwa tayari iko ktk mikono salama, either chini ya halmashauri au chini ya mwekezaji
Mifano ni mingi ya timu zilizo chini ya halmashauri. Hizo halmashauri zilifanikiwa vipi?Timu imeanzishwa kisiasa, faida yake ni kisiasa tu. Ligi inakusanya vijana, mji unachangamka watu wanasahau shida zao.
We unadhani madiwani na wabunge wanaodhamini ligi za kata na ligi za jimbo huwa wanawashwa hela? Kwanini sasa haitokei mtu baki kama mkulima asidhamini ligi hizo.
Mtu hela alikuwa anachota tu, anapigia wafadhiri wanafiki wanadhamini timu ili baadae wapewe tenda na wakwepe kodi. Akishaondoka hiyi ndio basi tena.
Halmashauri hizihizi ambazo watumishi hawana marupurupu ndio ianze kutoa hela ya kambi, mishahara ya timu, isajiri, ilipe safari?
Mwekezaji gani awekeze Namungo. Wanauza jezi kiasi gani na idadi gani, wana market value gani? Unahisi wenye hela ni wapumbavu sio?
Uko sahihi,matajiri au wafanyabiasharahela yao haitoki bila mahesabuKuwekeza kwenye mpira ni hasara endapo hautumii kama mbinu ya marketing kama Mo, SSB Group na GSM wanavyofanya.
Kama upo hiyo timu hesabu maumivu. Hakuna tajiri anafanya upumbavu wa kutumia hela tu kisa ipo, sehemu haiingizi hela.
Zinamaliza nafasi ipi na zina quality gani ya wachezaji na bajeti gani zinatumia. Namungo iko pale imekuzwa na mdhamini ambaye hanufaiki kibiashara bali anafaidika kisiasa.Mifano ni mingi ya timu zilizo chini ya halmashauri. Hizo halmashauri zilifanikiwa vipi?
KMC mwanasiasa yupi anaifadhili,mbeya CITY na PAMBA ?Zinamaliza nafasi ipi na zina quality gani ya wachezaji na bajeti gani zinatumia. Namungo iko pale imekuzwa na mdhamini ambaye hanufaiki kibiashara bali anafaidika kisiasa.
Kina Namungo, Singida ukiondoa wanasiasa hakuna Halmashauri za mikoani zinaweza himili ukubwa wake. Fate yake ni sawa na ya Mbeya City na Mbao FC.
Anamzidi vipi?? Labda kama rais hajaamuaaaaUnajuwa ukwasi aliouvuna waziri mkuu tangu2015 Hadi sasa??! Je wajua waziri mkuu anaweza kumzidi rais wake ukwasi?
waziri mkuu ndiye mtendaji mkuu wa serikali,deal za kiutendaji anazipata yeye ndipo anazifikisha kwa mkuu wake.Anamzidi vipi?? Labda kama rais hajaamuaaaa
Kumbuka uwezo wako wa kuchanganua mambo utawaathiri wanao.KMC mwanasiasa yupi anaifadhili,mbeya CITY na PAMBA ?
Amelaaniwa yule amtumainiaye binadamu,
PM Kassim Majaliwa Alikuwa akinyanyua simu kwa wafadhili na wadhamini ndani ya 24 hrs akaunti ya Namungo inajaa.ole wako ukatae,utaonekana mpinga maendeleo
Ligi kuu kuiendesha ni gharamasana kuilisha mijibaba zaidi ya 30,yenye familia,mingine inaenda saloon kila weekend kusuka sii mchezo
Wakati msiba wa Namungo umefika,SBS wajiandae
Hii inaitwa law of bumping kwa wataalam wa fizikia