Mimi siyo malaika ni binti wa kawaida tu!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama mimi kuna kikongwe kinahangaika na mimi jamani,kila nilipo yupo...
Nami nammaliza kabisa kwa kutokujishughulisha nae.
Kuna watu humu wa ajabu balaa...wako hovyo sanaa

Yaani anakutafuta bila sababu anahaha kama mbu anapholese...

Mradi tu...wapo!miye pia kuna kijuso humu kinahaha na Mimi mpk baasi[emoji2] [emoji2] [emoji2] bora basi angenijua,hanijui zaidi ya kunisoma,angekua kama,wewe au shunie au dinazarde naona kashanianika....
 
Nakusalimu
 
Tafuta marafiki wengi kadri uwezavyo...lakini usisahau kuwa na maadui wengi pia wa kukutia hasira za ku'hustle maisha....jivunie vyote!!!!!
 

Yeyote anayeanika wenzie ni mshamba tu,mimi na umbea wangu wote sijawahi wala sitokaa nifanye huo upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…