Mimi superbug sifa zangu ni hizi

Mimi superbug sifa zangu ni hizi

1. Nina elimu ya Masters.

2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK.

3. Nina watoto 3.

4. Mke mzuri.

5. Mpare kwa kabila.

6. Naipenda Israel na Urusi.

7. Najua kutumia silaha za moto.

8. Najua matumizi sahihi ya R na L.

9. Mkatoliki kanisa takatifu la Roma.

10. Mpenzi wa simba SC.

11. Nachukia Ugaidi wa nchi za kislamu.

13. Najua Kiswahili kingereza na kitaliano kidogo.

14. Najua shida na raha

15. Mpenzi mkubwa wa chadema (CCM hapana wana mambo mengi nisiyokubaliana nayo hasa utekaji na wizi wa kura.

16. Rais wangu kipenzi wa tz ni nyerere Mkapa na Jakaya.

17. Nakunywa pombe.

18. Niko timu ndoa (kuoa ni muhimu na baraka.

19. Kipato changu ni 20mM kwa mwezi.

20. Naishi Arusha Tanzania na nakuru kenya.
Hizi ni sifa za kawaida ambazo zaidi ya members asilimia 80 wanazo humu JF. yaani ume copy kwa members wengi umezikusanya umefanya ziwe zako.
 
1. Nina elimu ya Masters.

2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK.

3. Nina watoto 3.

4. Mke mzuri.

5. Mpare kwa kabila.

6. Naipenda Israel na Urusi.

7. Najua kutumia silaha za moto.

8. Najua matumizi sahihi ya R na L.

9. Mkatoliki kanisa takatifu la Roma.

10. Mpenzi wa simba SC.

11. Nachukia Ugaidi wa nchi za kislamu.

13. Najua Kiswahili kingereza na kitaliano kidogo.

14. Najua shida na raha

15. Mpenzi mkubwa wa chadema (CCM hapana wana mambo mengi nisiyokubaliana nayo hasa utekaji na wizi wa kura.

16. Rais wangu kipenzi wa tz ni nyerere Mkapa na Jakaya.

17. Nakunywa pombe.

18. Niko timu ndoa (kuoa ni muhimu na baraka.

19. Kipato changu ni 20mM kwa mwezi.

20. Naishi Arusha Tanzania na nakuru kenya.
Hujaelimika.

Kuwa na nadters au ohd haimaanishi kuelimika. Kondoo wengi wanazo hizo.

Ungeelimika usingesomea ujinga ukakujaa.
 
1. Nina elimu ya Masters.

2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK.

3. Nina watoto 3.

4. Mke mzuri.

5. Mpare kwa kabila.

6. Naipenda Israel na Urusi.

7. Najua kutumia silaha za moto.

8. Najua matumizi sahihi ya R na L.

9. Mkatoliki kanisa takatifu la Roma.

10. Mpenzi wa simba SC.

11. Nachukia Ugaidi wa nchi za kislamu.

13. Najua Kiswahili kingereza na kitaliano kidogo.

14. Najua shida na raha

15. Mpenzi mkubwa wa chadema (CCM hapana wana mambo mengi nisiyokubaliana nayo hasa utekaji na wizi wa kura.

16. Rais wangu kipenzi wa tz ni nyerere Mkapa na Jakaya.

17. Nakunywa pombe.

18. Niko timu ndoa (kuoa ni muhimu na baraka.

19. Kipato changu ni 20mM kwa mwezi.

20. Naishi Arusha Tanzania na nakuru kenya.
MKUU SOME OF FACTS TUNAFANANA KIASI FULANI.

Namba 17. Naunga mkono hoja☺️😊 namba 19. Ni TATEPA 😅😂😂
 
1. Nina elimu ya Masters.

2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK.

3. Nina watoto 3.

4. Mke mzuri.

5. Mpare kwa kabila.

6. Naipenda Israel na Urusi.

7. Najua kutumia silaha za moto.

8. Najua matumizi sahihi ya R na L.

9. Mkatoliki kanisa takatifu la Roma.

10. Mpenzi wa simba SC.

11. Nachukia Ugaidi wa nchi za kislamu.

13. Najua Kiswahili kingereza na kitaliano kidogo.

14. Najua shida na raha

15. Mpenzi mkubwa wa chadema (CCM hapana wana mambo mengi nisiyokubaliana nayo hasa utekaji na wizi wa kura.

16. Rais wangu kipenzi wa tz ni nyerere Mkapa na Jakaya.

17. Nakunywa pombe.

18. Niko timu ndoa (kuoa ni muhimu na baraka.

19. Kipato changu ni 20mM kwa mwezi.

20. Naishi Arusha Tanzania na nakuru kenya.
Unatakaje sasa maana sijaelewa unaweza kusema 20ml kumbe 20k mambo ambalo sijaona ni mtandao unasearch au ndio wale wakimoja chapu kinalala sema tu. Watoto wote wandani yandoa huna wanje maana ukitakiwa tujue wewe ni rijali lazima uchepuke
 
Wimbi watu kuibuka na kuanza kujisifia na kujinadi limekuwa kwa kasi sana Tena ajabu ni wakiume, Ile critical thinker inapungua sana.
 
1. Nina elimu ya Masters.

2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK.

3. Nina watoto 3.

4. Mke mzuri.

5. Mpare kwa kabila.

6. Naipenda Israel na Urusi.

7. Najua kutumia silaha za moto.

8. Najua matumizi sahihi ya R na L.

9. Mkatoliki kanisa takatifu la Roma.

10. Mpenzi wa simba SC.

11. Nachukia Ugaidi wa nchi za kislamu.

13. Najua Kiswahili kingereza na kitaliano kidogo.

14. Najua shida na raha

15. Mpenzi mkubwa wa chadema (CCM hapana wana mambo mengi nisiyokubaliana nayo hasa utekaji na wizi wa kura.

16. Rais wangu kipenzi wa tz ni nyerere Mkapa na Jakaya.

17. Nakunywa pombe.

18. Niko timu ndoa (kuoa ni muhimu na baraka.

19. Kipato changu ni 20mM kwa mwezi.

20. Naishi Arusha Tanzania na nakuru kenya.
Halafu
 
Sawa tumekuelewa,ila hapo kwenye namba 4 naona tusubirie ukiombwa angalau kapicha ka shemeji......
 
Back
Top Bottom